Ukiangalia dhoruba ya kiuchumi inayoendelea duniani hata nchi tajiri huko , halafu kuna wapumbavu wanafuja pesa za serikali Kwa issues za kipumbavu badala ya kusave na kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti anguko la kiuchumi
Nchi kama Germany zipo kwenye recessions mpaka sasa , UK local government zina decalre buncruptcy kila siku , Marekani makampuni yanapunguza wafanyakazi na mwengine kufirisika kabisa ,mabenki pia ,China local governments zina mzigo wa madeni mpaka nyingine zimeshindwa kulipa mishahara mpaka sasa tangia mwaka huu uanze
Nchi kama Srilanka ,,Lebanon ,Turkey , Pakistan , Argentina nk kuna mfumuko mkali wa bei na kushuka kwa thamani ya local currency zao + uhaba wa fedha za kigeni na anguko la mapato mpaka muda huu tunaoongea na wanazidi kupewa handsout za IMF
Sisi wapumbav wetu hapa wanazidi kufuja tu as if tuko salama
Wakuu hali ni mbaya ,na kinachotokea mwakani kitakuwa ni kibaya zaidi katika aspect ya uchumi .
Ni kwamba tunaongozwa na watu wapumbavu nchi hii