Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Kodi tunalipa sana mpaka tumefunga biashara kwa Kodi zenu kubwa Huku mzunguko mtaani hakuna.Kodi mnayokusanya mnafuja.Rejea ripoti ya CAG,safari ya UAE wajumbe 764,Mafao ya viongozi na wake Zao,gari la kutembelea Tani Tatu la nini?,mishahara na posho za wabunge hazilingani na uchumi wa nchi tena hazikatwi Kodi.Viongozi wanaifilisi nchi kwa kuishi maisha ya anasa Huku wananchi wakifa kwa kukosa huduma za afya na lishe
 
Miradi Kama SGR haiendeshwi kwa pesa za Donors. Hizo ni pesa za MIKOPO.

Magufuli alikuwa anakopa KINUHA kwenye mabenki ya kibiashara, mikopo yenye riba kubwa halafu ya muda mfupi.

Sasa SGR haijaisha na madeni yameiva yanatakiwa kulipwa.

Wanachofanya Bibi too na Mwigulu ni kukopa sehemu nyingine na kulipa.madeni yaliyoiva.

Mzungu alishajua mitawala ya Africa ni mijuha na Ina tamaa Kali sanaa.

Kwahiyo, Mzungu akitoa pesa yake iwe msaada au mkopo nafuu anaiwekea masharti, hasa itumike kwenye Afya, demokrasia, utawala Bora, haki za binadamu au Mazingira na Mzungu anakagua pesa zake hataki ujinga.

Pesa unazoona Wanasiasa wanafanyia anasa za posho, mishahara, kulipa wake wa viongozi, kununua magoli ya mpira ni pesa za TRA na makusanyo mengine.
 
Huduma za kijamii kadai huko kwa matapeli mnaowatajirisha na mafungu ya kumi mmbuz nnyie
 
Ukiangalia dhoruba ya kiuchumi inayoendelea duniani hata nchi tajiri huko , halafu kuna wapumbavu wanafuja pesa za serikali Kwa issues za kipumbavu badala ya kusave na kuweka mikakati madhubuti ya kudhibiti anguko la kiuchumi
Nchi kama Germany zipo kwenye recessions mpaka sasa , UK local government zina decalre buncruptcy kila siku , Marekani makampuni yanapunguza wafanyakazi na mwengine kufirisika kabisa ,mabenki pia ,China local governments zina mzigo wa madeni mpaka nyingine zimeshindwa kulipa mishahara mpaka sasa tangia mwaka huu uanze
Nchi kama Srilanka ,,Lebanon ,Turkey , Pakistan , Argentina nk kuna mfumuko mkali wa bei na kushuka kwa thamani ya local currency zao + uhaba wa fedha za kigeni na anguko la mapato mpaka muda huu tunaoongea na wanazidi kupewa handsout za IMF
Sisi wapumbav wetu hapa wanazidi kufuja tu as if tuko salama

Wakuu hali ni mbaya ,na kinachotokea mwakani kitakuwa ni kibaya zaidi katika aspect ya uchumi .
Ni kwamba tunaongozwa na watu wapumbavu nchi hii
 
Hakuna Rais,hakuna serikali Bali ni matapeli yamejaa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…