Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Tatizo siyo serikali,tatizo ni hawa wasomi wa kanisa waliojaa huko serikalini calling themselves wataalam,kitu pekee wanachoweza zaidi ni wizi na ufisadi tuh, professional in stealing,tutafute muarobaini wa hawa walafi hawa.
Basi nchi haina serikali. Umemaliza kila kitu. Nchi haina Rais ina rahisi tu.
 
Mimi nawashangaa hao DOnors, kama wameona pesa zao zatumika ndiyo sivyo siwaache kutoa hizo pesa? Kwani watalazimishwa?
 
Donors nani hao? Unaweza kutupa ushahidi wa maandishi au sauti zao wakati wakilalamika Hela zao kuliwa?

Umesahau mijadala ya bungeni juzi kwenye kujadili ripoti ya CAG?. Mbona wabunge walilamika wizi ni mkunwa mpaka wengine kutaka kulia. Unadhani wahisani hawapati taarifa?.
 
Punguza uchawa na unafiki. Kwani wao wanapopandisha Bei ya nauli huwa wanapandisha kistaarabu?
Sina shida ya kuwa Chawa mkuu,
Nadhani una changamoto ya uelewa. Nilichozungumza ni kwamba kosoa kistaarabu.
Hapo uchawa na unafiki unatoka wapi?. Yumkini hata maana ya msamiati "Mnafiki/unafiki"hujui.
Nachagua kukupuuza mkuu kwa sababu ya lugha zako za kipuuzi.
Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…