Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

Uliyekombolewa na elimu hujui hata maana ya bajeti ya serikali 😆😆😆😆

Wewe fukara na wenzako ndio serikali inawashughulikia maana nyie ni mizigo
Budget ya serikali kungekuwa na hela surplus ya kupeleka ughaibuni?, watanzania sio wajinga yale maigizo yenu pale Bungeni pelekeni Kaole,,, shenzi nyinyi.

Wewe ni mjinga per se, sijui nifanye kuku ignore tu??? eti fukara na wenzio, watanzania wangapi ni mafukara??? you dont get it, do you????....
 
Unaropoka vitu usivyovielewa,kwa hiyo ulitaka usilipe Kodi ila.udai huduma sio? Umejaza matope kichwani..

Kodi ya visimbuzi na tozo za miamala wapi vinapoingiliana? Kodi mbili mbili kama zipi? Unaelewa maana ya VAT?
 
Dah!..tusiombe kufika huko boss, maana wengine hatutapaweza
Amini kwamba it will be better kama wote tutakuwa kwenye suffering circle kuliko hali ya sasa ambapo majority tupo motoni halafu wachache wapo peponi wanatufanyia "mocking game" just making fun of us.

Ni rahisi kufikia maridhiano sababu wote moto utakuwa unatuwakia. Vx V8 haziendesheki wote usalama hafifu.
 
Rea
Cc : Extrovert nafikoro hi reply inafaa...

Tupe katika stage ya maisha ambayo kutia tia uhutuma na unyonge hauwezi kusaidia kubadilisha jambo lolote...!

People need to take actions!!!
Real shit
 
Watanzania hawataki kulipa kodi.
Kodi ni billions of money zinafanya nini chenye tija kwa wananchi?

Basi kama inashindikana tufanye kimoja kimoja kila mwaka wa budget. Kama ni lami zijenge miaka miwili kwa nguvu zote ziishe kabisa. Sio inaanzishwa miradi 10 haiishi miaka mitano inaisha hela zinadokolewa tu.
 
Mzee jamaa wanachosha sana yani...Ukiwaza mabillion wanayogawana wao kwa wao yangefanya mangapi. Yani kila kitu kingeweza fanyika smoothly bila kukomoana na Tozo za ajabu
Wanatia hasira sana. Kila siku utasikia wamesain mikataba ya mikopo kibao!! lkn hio mikopo haionekani inafanya shughuli gani hasa. Hata mawaziri husika hawatu-update nini kinaendelea kwenye hayo mamikopo na miradi wanayosema!! watz tumekuwa wajinga sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…