DuhMtoa mada!
Sio kwamba serikali haiwezi kuvunja ndoa za kikristo, inaweza kufanya hivyo. Kumbuka madhehebu mengi ya kikristo yanatumia cheti cha serikali wakati wa kufunga ndoa.
Hivyo, mahakama zina uwezo na zimekuwa zikitenganisha ndoa nyingi tu za kikristo kwa kuruhusu wenza wapeane talaka.
Shida inakuja kuwa makanisa mengi ya kikristo hasa haya mainstream, hata kama ndoa ikitenganishwa na mahakama wao bado wanaendelea kuchukulia kuwa hiyo ndoa bado ipo.
Matokeo yake ni kwamba wahusika wote wawili mtatengwa na hamtaruhusiwa kufunga tena ndoa ndani ya kanisa husika.
Ndio zote za kidini iwe kikristu, Islamic, Buddha, Indian etc zinakuwa guided na Sheria za dini husika.Serikali ilitazame hili kwa jicho la dharula!
ndoa nyingi sana zimekuwa chanzo kikuu cha mauaji!
Ukipitia mafaili na report za kipolisi asilimia kubwa ya mauaji ya kimapenzi ni ndoa za kikristo!
Swali: Kwanini za Kikristo ndiyo zinaongoza!
Jibu: Ni kwasababu serikali haikutoa utaratibu rahisi wa kuachana (Talaka) kwenye ndoa za kikristo!
Hivyo imewafanya wakristo wanaofight divorce kuishi maisha hatarishi zaidi kutokana kwa wenza wao, mbali na migogoro mikubwa ya kupigana na kufumaniana pengine wengine hadi wanaletewa magonjwa kama ukimwi kwa kukosa namna ya kupata talaka
Mfano
Kuna scenario ya mama mmoja ambaye ameishi na Mme wake na kupata watoto watatu kwa kuvumilia, lakini uvumilivu umefika mwisho baada ya mmewake amekuwa ni wa kumpiga, matusi na kumdhalilisha, Mama huyo kariporti Mara kadhaa polisi lakini hajui afanyeje ili apate talaka kisheria!(divorce)
Pamoja na kipigo na masimango, malalamiko mengine ya yule mama ni mmewe kuwa na vimada wengi hadi na mabinti wa kazi ambayo yote kayavumilia lakini hili la kupigwa mme wake anaporudi kalewa limemshinda.
Hivyo kwa mateso ya mama yule, ni dhahiri yupo hatarini kufanya au kufanyiwa mauaji mda wowote!
Lakini kungekuwa na utaratibu mwepesi wa talaka wangeachana kwa Amani! Lakini hajui afanyeje!
Wahanga wa ndoa za kikristo ni wengi sana! Wanandoa wengi wa kikristo wametengana hadi makazi lakini huwa wanafuatiliana ili kufumaniana! (FUMANIZI kwa mgongo wa cheti cha ndoa)
Ndoa zenye migogoro mkewe/mme wanaotengana makazi miezi sita, au mwaka au miaka miwili kila mtu yuko kivyake, lakini kwasababu wanamiliki vyeti vya ndoa hufuatiliana kufumaniana kwasababu HAKUNA TALAKA! (Ili kuprove wrong kwa jamii mmoja amchafue mwenzake)
wahanga wakubwa zaidi wa hili ni wanawake kwasababu ya ushahidi wa tumbo wanapopata wenza wapya na pengine kupata mimba huko!
Nitoe rai kwa serikali Ione umhimu wa kuboresha sheria za ndoa za kikristo kupeana talaka isiwe jambo gumu la kutoana uhai kama kesi za ardhi!
Serikali itambue haina dini, hivyo itengue na mambo ya iman yabaki kiimani, kama vyeti vya ndoa inatoa serikali basi iruhusu pia kutoa talaka kuliko ilivyo ngumu sasa.
Ilivyo sasa inahitaji watalaam sana kufuatilia talaka kwa Wakristo hususani kwa wanandoa wasiona uwezo/ueleewa na sheria.
That's Canon law na ndio maana watu wanapaswa kujua ndoa sio kitu Cha fashion tu kama ambavyo imekuwa siku hizi.Mtoa mada!
Sio kwamba serikali haiwezi kuvunja ndoa za kikristo, inaweza kufanya hivyo. Kumbuka madhehebu mengi ya kikristo yanatumia cheti cha serikali wakati wa kufunga ndoa.
Hivyo, mahakama zina uwezo na zimekuwa zikitenganisha ndoa nyingi tu za kikristo kwa kuruhusu wenza wapeane talaka.
Shida inakuja kuwa makanisa mengi ya kikristo hasa haya mainstream, hata kama ndoa ikitenganishwa na mahakama wao bado wanaendelea kuchukulia kuwa hiyo ndoa bado ipo.
Matokeo yake ni kwamba wahusika wote wawili mtatengwa na hamtaruhusiwa kufunga tena ndoa ndani ya kanisa husika.
Ukiwa na ushahidi kuwa mkeo au mumeo anazini huko nje ya ndoa; ndoa inavunjikaAlichounganisha MUNGU mwanadamu hawezi tengua. MUNGU anachukia kuachana. Ukitaka ndoa zakuachana baadae nenda kwingine na serikalini. Kwa wakristo talaka no !!!
Sasa huu mchakato wote wa nn ??? Na mahakama zenyewe nazoooo!! ????Talaka inatolewa mahakamani endapo utathibitisha kuwa ndoa imevunjika na haiwezi kurekebishika pia sababu nyingine ya kupewa talaka ni ukatili iwe ni matusi au kipigo.
Ndugu,hakuna kiongozi yeyote wa dini utakaempelekea hoja kuhusu kuachana kwenye ndoa akakupa go ahead,zaidi atakushauri mvumiliane tu.Kuomba talaka kwenye ndoa za Kikristo mbona ni simple, uwe na ushahidi.
Halafu talaka ya kikristo unapata nguvu zaidi juu ya uasherati.
Ikiwa na ushahidi ukianzia kwa viongozi wa dini mlipofungia ndoa. Wakiridhia wakiona hii ngoma ipo at the point of no return wanakupa taa ya kijani nenda mahakamani. Issue labda utoaji wa talaka mahakamani unachukua mda mrefu.
Au unataka iwe kama wale wenzetu unalala ukiamaka asubuhi ghafla unakuta talaka mezani?
Umenena vema,,,Mkuu sijajua umetoa wapi hii habari kuwa wakristo hawana talaka.
Talaka inatolewa mahakamani endapo utathibitisha kuwa ndoa imevunjika na haiwezi kurekebishika pia sababu nyingine ya kupewa talaka ni ukatili iwe ni matusi au kipigo.
Mshauri huyo mhanga wa ukatili katika ndoa yake kama anataka talaka aende kufanya petition mahakamani kama hafahamu taratibu atafute wakili naye atamsaidia.
Kitu kinachofanya talaka kuonekana ngumu inatokana na watu kutofahamu utaratibu wa kudai talaka, eti mtu anaenda kudai talaka huko serikali ya mtaa au polisi unategemea nini? Kama hufahamu taratibu mtafute wakili akusaidie.
HahahaNdugu,hakuna kiongozi yeyote wa dini utakaempelekea hoja kuhusu kuachana kwenye ndoa akakupa go ahead,zaidi atakushauri mvumiliane tu.
Kama weweUtakuwa hujui Ukristo ila unajaribu kujadili jambo usilojua.
Pia serkali haiingilii imani za watu na kuwawekea sheria.
Kifupi hujui unasema nini.
Ukikiri wewe ni maamuma sio mbaya.Kama wewe
Asante kwa ushauriUkikiri wewe ni maamuma sio mbaya.
Kwanini usiishauri serkali kutumia KATIBA kwenye ibada za kikristo sasa
Kama hakuna anaetoa go on hizi ndoa za makanisani wanafikiaje hadi kuvunja ndoa bila hati mahakamani?Ndugu,hakuna kiongozi yeyote wa dini utakaempelekea hoja kuhusu kuachana kwenye ndoa akakupa go ahead,zaidi atakushauri mvumiliane tu.
Hahahtalaka inatolewa serikalini maana hata ukifunga ndoa kanisani lazima ukaandikishe serikalini so ndo inavunjwa ni vile watu wamajibebdsha ukatoliki hatare
Unataka inchi nzima tusome sheria?Rudi darasani ujifunze sheria za nchi kuhusu imani. Kanisa lina uwezo wa kutatua matatizo ya ndoa, ikibidi hutenganishwa na kutoa nafasi ya kurudiana hali ikiwa shwari.
Labda wa edit biblia Kwanza Kama itawezekana.Mkristu aliyefunga ndoa kwa baba Paroko hakuna kuachana ndomaana maandiko yanasema kwa waliyojaaliwa tu sasa kama ujajaliwa unaenda kufunga ndoa kwa baba paroko ya nini