Sikio la kufa halisikii dawa, tumekwenda kukopa zaidi ya trilioni 6 huko korea fedha za kigeni, zitatupa ahueni ya muda mfupi lakini mwisho wa ziku zitaongeza kukubwa wa tatizo, hususani kama zote zitaishia kwa wakandarasi wa kigeni na safari za huku na kule za mheshimiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.