Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
wamefunga mipaka ya ndege na mabasi, je zile njia za wamasai wamefungaNchi ya Chad, ambayo bado haijapata mgonjwa au mshukiwa wa virusi vya Corona, imefunga mipaka yake yote na viwanja vya ndege ikiwa ni sehemu ya juhudi kuhakikisha virusi hivyo vinadhibitiwa.
NB:Idriss Deby ni raisi diktekta wa kweli sio wale uchwara..maana alipindua Chad toka 1990 mpaka leo raisi ...lakini anafunga mipaka ya nchi yake ili watu anaowaongoza wasife...Hapa kwetu viongozi hawana huruma na watu wanaowaongoza ...
Mficha magonjwa, mauti humwumbua. Ni kweli kwamba wale wanaotajwa na serikali tu ndo idadi halisi? Hawa wanaotajwa tajwa kwingine mbona kwenye list hawawekwi?View attachment 1393064
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegoogle sijamuona RoseEnhee!! Basi sawa mtaalam.
Jamani, wengine tukumbushane, siku moja iliyopita Rose Marie Compaure, makamu wa rais wa bunge la Burkina Faso alifariki kwa ugonjwa wa Corona. Rose alikuwa mwafrica mweusi kutoka sub-saharan Africa.
Mungu asimamie upande wetu na jinsi tulivyokuwa hohe hahe mwee familia ya watu sita vyumba viwili nyumba ina vyumba sita wakaaji 16 choo kimoja bafu moja nawaza mbali mwenzenu sijui tuanze kupungua mjini kurudi vijijini manake kule hakuna mbanano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata muda Google tena, ninaweza kuwa nimekosea spellings, kifaransa huwa kinanisumbua. Tumia key words: sub-saharan africa first Corona death, deputy president Burkina Faso parliament, member of parliament etc.Nimegoogle sijamuona Rose
Tatizo kwa wale ambao immunity yao ipo chini. Wazee na wenye magonjwa yasiyo ambukiza na wenye HIV pia.Hakuna shida kama hawafi!
Wangapi hupata mafua kila mwaka?
Hao Wasafi tuliwaambia humu wasiende huko Ulaya kama sio lazima. Amebaki yule msemaji wa Simba.
Hello, I'm curious. Are you Kenyan 🙃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 u made my day mkuu
Dah!! Mkuu umewaza kama mimiMungu asimamie upande wetu na jinsi tulivyokuwa hohe hahe mwee familia ya watu sita vyumba viwili nyumba ina vyumba sita wakaaji 16 choo kimoja bafu moja nawaza mbali mwenzenu sijui tuanze kupungua mjini kurudi vijijini manake kule hakuna mbanano
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Italia hadi sasa wamekufa wangapi mkuu 'Cannabis'?wakishafika elfu kumi ++ ndio huwa wanaanza kufa, maana kunakuwa na mchanganyiko wa wagonjwa wenye umri tofauti, wenye magonjwa mengine (Presha, Sukari) etc.
Idadi ikiwa kubwa mno vituo maalum vya kupambana na huo ugonjwa ndio huzidiwa na huduma kudorora. Ulaya ilianza hivi hivi na nchi kama Italia wengi walikuwa wanasema huu ugonjwa ni kama mafua tu ya kawaida ila cha moto wanakiona sasa hivi. Siombei mabaya nchi yetu ila ni bora kuwa makini na kujiandaa kwa lolote, wiki ijayo inawezekana tukawa tunaongea lugha tofauti.
Mpaka sasa wamekufa 2,978, hiyo ni kati ya wagonjwa 35,713. Jana ilikuwa ni rekodi ambapo walikufa 475. Kwenye mji wa Bergamo inasemekana wamezidiwa kiasi cha kwamba jeshi ndio limejitolea kubeba maiti, huo ndio msafara hapo chini.Huko Italia hadi sasa wamekufa wangapi mkuu 'Cannabis'?
Kwa hiyo basi tuamue kwamba hawa ndio wanaohitaji 'isolation'; badala ya hao wenye kinga zao za miili? Au unasemaje?Tatizo kwa wale ambao immunity yao ipo chini. Wazee na wenye magonjwa yasiyo ambukiza na wenye HIV pia.