The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Umetukana mbwa sio pumbavu,ungesema pumbavu nisinge kuquote.Mungu pia huchukizwa na wapumbavu,na amewataja akiwafananisha na hayawani katika maandiko kibao tu,binaadamu wenye roho za kinyama.
rejea hayawani hapo juu mkuu.ilisimama kama mnyama katika maandiko.Umetukana mbwa sio pumbavu,ungesema pumbavu nisinge kuqoute.
Kama ni kweli basi waruhusu wana habari za uchunguzi waende kufanya utafiti,yaani kituo cha amana na mloganzila ambavyo ndio vituo vikuu vya wagonjwa wote wa korona DAR ndio unasema kuna wagonjwa 6????? Like Seriously,you good? whata a lie!! Ni uongo wa plate namba A!! Hatuwezi kuyatatua matatizo kwa kujidanganya kwamba hayapo,tuseme ukweli.Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri
Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa 12, Kisoka- Mloganzila 6 pamoja na Kituo cha Kibaha chenye wagonjwa 24
View attachment 1451311
Nime edit soma yote,Mungu aliumba Binadamu na Wananyama (mbwa)akiwepo.rejea hayawani hapo juu mkuu.ilisimama kama mnyama katika maandiko.
mkuu mbwa ni zaidi ya sura.Umetukana mbwa sio pumbavu,ungesema pumbavu nisinge kuquote.
Kumbuka Mungu amemuumba Mwanadamu kwa sura na mfano wake Wewe ni nani umwite Mwanadamu mbwa,hata kama amekuudhi ,Muumba hajawai Mwita !Mwanadamu wake mbwa hata Kama amemkosea vip,wewe ni nani umwite Mwanadamu unavyojisikia?
Tunapiga nyungu ,Tumetumia Dawa zetu tulizogundua wenyewe COVIDOL na NIMRICAFNi dhahiri shahiri kwa sasa Corona Tanzania ni kama imeanza kupoteza kiki
Ukipita saivi huko mjini utaona ishara inayokuonesha Corona ipo ni uvaaji wa barakoa na cleansing facilities kwenye biashara za watu ila watanzania wa nazidi kuchapa kazi kama kawaida na kwa kasi maradufu
Katibu mkuu mpya anadhibitisha wagonjwa waliopo kwenye facilities za Corona wamepungua kwa kiasi kikubwa na wanaenda kuisha kabisa kabisa.
Heko JPM
nadokezwa siri ya mafanikio ni dawa zetu za ndani 😅

Ni dhahiri shahiri kwa sasa Corona Tanzania ni kama imeanza kupoteza kiki
Ukipita saivi huko mjini utaona ishara inayokuonesha Corona ipo ni uvaaji wa barakoa na cleansing facilities kwenye biashara za watu ila watanzania wa nazidi kuchapa kazi kama kawaida na kwa kasi maradufu
Katibu mkuu mpya anadhibitisha wagonjwa waliopo kwenye facilities za Corona wamepungua kwa kiasi kikubwa na wanaenda kuisha kabisa kabisa.
Heko JPM
nadokezwa siri ya mafanikio ni dawa zetu za ndani 😅
Wapo waliokua wamejipanga kulitumia hili janga kisiasa lakini wanafeli kadri siku zinavyozidi kwenda.
Nililojifunza kubwa kutoka kwa JPM kwenye hili ni kuwa na utulivu wa maamuzi kwenye kila situation no matter how bigger it may appear.
Wakifa wanazikana wao kwa wao ina maana hata mortuary wanaogopa kupeleka maiti zao zitapata Corona?Angetuambia hao wagonjwa wamepungua kwa kupona au kwa vifo?
Kwa sasa watu wanaogopa kwenda hospitalini kwa hawapatiwi huduma, na pia wahudumu wanawakimbia sasa wakigundua wanaumwa wanajitibia tu nyumbani. Wakifa wanazikana wao kwa wao na pale ambapo serikali itapata taarifa, basi ndo tena hivyo.
WHO na UK zimemuiga JPM
Hiyo conversation ni ya watu timamu.