Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Sio wao ni serikali wakishawishiwa watakubaliSwali hao vigogo wa TRA watakubali
Hayo ya neema umeyasema weweKwa nini kwa TRA pekee yake? Au ni kutokana na neema iliyopo huko kwamba akiajiriwa huyu leo kwa miaka kumi ajichumie chake ndani ya muda huo kisha ampishe mwingine nae ale neema kwa miaka kumi? Je, huko TRA kila mtumishi kwenye kila kitengo ana neema?
Basi ufafanue sababu za kutoa pendekezo hilo kwa TRA na siyo na taasisi nyingine za serikali.Hayo ya neema umeyasema wewe
Miaka 15 mtu bado hajajipata hata pension yake kwa kikokotoo cha sasa atakufa kwa kihoro.Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
View attachment 3294091
Na nyingine sema zina uzi wake mfano walimu wa secondary, wahasibu, watumishi wa halmashauriBasi ufafanue sababu za kutoa pendekezo hilo kwa TRA na siyo na taasisi nyingine za serikali.
Onyesha sehemu ambayo nilipochukulia hii content kutoka x niko pale nasbiriaMaswala mtu unachukua content X , unaleta huku kwa kujirekodi ni umama.
Haya toa majibu , baada ya miaka 15 watu hawa waende wapi
Point ni kuondoa ile hali ya mazoea ambayo wanayo baadhi ya watumishi wa serikaliniKwani ni lazima serikali iajiri kila mtu ? Haya mengine ni uvivu wa kulima tu🐼
Dunia inabadilika mfano watu ambao wanamiaka 48 na kuendelea ndo mabingwa wa kupinga hata mabadiliko ya technologia wanaishi dunia nyingine bado wanafikra za kizamani huo ndo ukweli ambao watu wengi hawataki kusikiaIli kuondoa tatizo la ajira
Serikali istaafishe wote ambao wako over 55
Kisha baada ya hapo ishushe umri wa kustaafu kwa lazima uwe 55 kwa wanaume
50 kwa wanawake
Kisha kazi ziwe za mikataba
Point sio kuneemekaWanaoneemeka ni wa Customs tu...sasa itakuwaje kwa hao wengine...
Kwa nini umelenga TRA ? Jee huko halmashauri ? Manesi ? Walimu ? Unaweza kufunguka zaidiPoint ni kuondoa ile hali ya mazoea ambayo wanayo baadhi ya watumishi wa serikalini