macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Kubadili wafanyakazi hakuongezi ufanisi wala uwajibikaji. Badala yake unaua kwa sababu mtu anajua yuko pale kwa short term. Uwajibikaji unaongezwa kwa usimamizi mzuri kazini. Kwa kukusoma tu inaelekea kuwa hujawahi kutoka nje ya Bongo. Ukija kupata bahati ya kutembelea nchi nyingine ndiyo utaokutana na watu waliokaa kazini mpaka karibu wanastaafu wakiwa na miaka 65 na ufanisi wao ndiyo umezidi kuwa mzuri. Hoja zako ni mfu na hujui tatizo hasa la utendaji mbovu Tanzania ni nini.Point kubwa ni kuongeza ufanisi, kuwaondoa watu kwenye comfort zone, kuondoa ile hali ya mazoea ambayo inaua ubunifu kwa kiwango kikubwa
Hata USA permernent and pensionable wapoDunia inabadilika watu wafanye kazi kwa mikataba
Wazo bovu kabisa hili kutajaa uhuni na uwizi wa hali juu na huu nfumo hauwez tekelezwa nchi yeyote dunianiNi muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
View attachment 3294091
Hizo ni illusionsIpo siku mtu atakuja na mawazo yake kuwa, Inabidi umri wa kuishi upunguzwe. Ukifika miaka kadhaa unyongwe au uchague kufa kwa hiari.
Trump amewafuta kazi maelfu wafanyakazi wa federal governmentHata USA permernent and pensionable wapo
Ndo maana nimekuambia inategemea mfano waasibu, Secretary, watu wa it, afisa manunuzi hizi kada wanatakiwa wafanye kazi kwa mkatabaKubadili wafanyakazi hakuongezi ufanisi wala uwajibikaji. Badala yake unaua kwa sababu mtu anajua yuko pale kwa short term. Uwajibikaji unaongezwa kwa usimamizi mzuri kazini. Kwa kukusoma tu inaelekea kuwa hujawahi kutoka nje ya Bongo. Ukija kupata bahati ya kutembelea nchi nyingine ndiyo utaokutana na watu waliokaa kazini mpaka karibu wanastaafu wakiwa na miaka 65 na ufanisi wao ndiyo umezidi kuwa mzuri. Hoja zako ni mfu na hujui tatizo hasa la utendaji mbovu Tanzania ni nini.
Trump USA wenyewe wanajutaTrump amewafuta kazi maelfu wafanyakazi wa federal government
mabadiliko lazima yawepo na watu wengi hawapendi mabadiliko ila lazima yawepoTrump USA wenyewe wanajuta