Serikali iingilie kati ukatili dhidi ya Watanzania waishio Uturuki na nchi za Kiarabu

Hivi kuna wanaoondoka Tanzania kwa kujua kuwa wanakwenda kuwa makahaba?
Wanajua vizuri sana ila hawajui wakiwa wavivu kukata viuno na kuzuia tigo kuna bakora za uhakika!
 
Hivi unajua ulichokiandika? Sasa unakataa nini na unakubali nini?
Wapi mimi nimekwambia kuna sehemu hakuna ubaguzi?
 
Teheteheeee unajua adi post location.....mkuu
 
Dada zetu wabishi sana sana, uroho wa pesa wawafanya kutosikia, kuona au kushauriwa, wanapenda pesa za haraka haraka kama wauza unga !
Hizo nchi ni sugu kwa kutoa haki kwa wageni, wengine tushashuduia Airport wakina dada wakililia kwenda huko! Ni tatizo sugu sana sana..
 
Mbona hata hapa tanzania kwetu unyanyasaji upo ,tukomeshe kwanza hapa
 
Kwa mtu mwenye mchumba wake au mkewe anajua mtu wake anafanya kazi China au Dubai, akiona nyuzi kama hii mapigo ya moyo lazima yapande aisee.
 
waarab sio watu aisee, ila tatizo mabint zetu nao wanatamaa mno
Usiwaone hawa wadada wenye viduka kinondoni na sinza wakikuambia wanaenda dubai,uturuki etc basi ujue hko ni kwenda kuuza tg mwanzo mwishooo

Ova
 
Kwa mtu mwenye mchumba wake au mkewe anajua mtu wake anafanya kazi China au Dubai, akiona nyuzi kama hii mapigo ya moyo lazima yapande aisee.
Kama mke au dem wako anakwenda hko basi lazima ataliwa sanaa
Kwanza kinachowafanya waliwe ni kutaka mremko mfano malazi na kula hawataki kutumia pesa zao,asilimia kubwa wa wanawake wanaliwa
Naongea hii nikiwa na ushahidi wa kuona kabisa

Ova
 
Kama mke au dem wako anakwenda hko basi lazima ataliwa sanaa
Kwanza kinachowafanya waliwe ni kutaka mremko mfano malazi na kula hawataki kutumia pesa zao,asilimia kubwa wa wanawake wanaliwa
Naongea hii nikiwa na ushahidi wa kuona kabisa

Ova
Kama ni mfanyakazi wa shirika kubwa na amepangiwa apartment kampuni ndio inamlipia kila kitu je?🤔
 
Wanapitaje pale airport, serikali ithibiti vijana kwenda nje bila sababu au vielelezo vilivyojitosheleza. Kwa kazi ambazo siyo rasmi, ni bora balozi wetu aliyeko nje aandike recommendation kwamba ana taarifa za kutosha na eneo analoishi huyo mwajiri...
 
Ila waafrika tuache unafiki,
Hivi ukatiri wanaotendewa waafrika na waafrika wenzao hamuuoni?
Yalitokea South Afrika,yanatokea Hapa bongo,ebu cheki alichotendewa Mke wa Bob wine na askari,
Zanzibar pale,Kuna ukatiri mkubwa wanaotendewa Wadada wanaofanya kazi kwenye mahotel,duniani Kuna matabaka mawili,walionacho na wasio nacho,hao wanaotendewa uhovu Uarabuni,ni waafrika waliokimbia umaskini hapa Afrika,wakaenda kutafuta maisha huko,waafrika wenye pesa wanaishi vzr tu Uarabuni,na uturuki,
Hata south Afrika,waliopata shida ni wale wanaishi tabaka la chini,wenye pesa zao,hawakupata shida,
 

Watanzania ambao ni diaspora wakisema waruhusiwe waruhusiwe kuwa na raia pacha sababu mojawapo ni kuepusha unyanyashaji. Uraia umetumika kunyima watu haki zao za msingi na Watanzania wengine wanaogopa kupata vibali kwasababu ya sheria zetu wenyewe. Kuna Watanzania mfano wapo genezani kwa makosa waliofanya miaka 15 iliyopita kwasababu tu sio raia hivyo wako mbioni kurudishwa kutoka hapa US lakini wasingeweza kunyanyashwa kama wangekuwa raia jamaa mmoja IT engineer yupo sero kwasababu alilewa na kuendesha gari mwaka 2003! akiwa na miaka 24 sasa kaoa, kasoma, na ana watoto maisha yake ya familia ni magumu sababu tu ya uraia. Balozi zetu hazina nguvu Watanzania watajisaidia wenyewe hivyo badala ya kulalamika tuwape nguvu zaidi diaspora mfano hapa US kuna Watanzania kila idara hivyo ni rahisi kusaidiana yakitokea majanga ya unyanyasaji maana hatutaogopa kwenda kwa hao wanyanyasaji moja kwa moja bila ubalozi lakini wenzetu wa huko uarabuni wanaenda kufanya kazi za kitumwa! . Nasema haya yote kusema tuwe kama Kenya wanawasaidia sana diaspora wao na matunda wanayaona. Sisi wengi tuna angaliana na kuona diaspora kama washindani! Hili ndilo linatuangusha
 
Siku hizi wanapitia south africa, hizi agency ziwasafirisha Hadi south kwa Basi then ndege Hadi uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…