Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Wanajua vizuri sana ila hawajui wakiwa wavivu kukata viuno na kuzuia tigo kuna bakora za uhakika!Hivi kuna wanaoondoka Tanzania kwa kujua kuwa wanakwenda kuwa makahaba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajua vizuri sana ila hawajui wakiwa wavivu kukata viuno na kuzuia tigo kuna bakora za uhakika!Hivi kuna wanaoondoka Tanzania kwa kujua kuwa wanakwenda kuwa makahaba?
Hivi unajua ulichokiandika? Sasa unakataa nini na unakubali nini?ubaguzi wa kimakabila upo na ubaguzi wa rangi upo sana, labda ujivue akili tu ukatae , kisa mwarabu kasemwa...Huko Sudan, Misri, Tunisia japo ni 'waafrika' wenzetu ila wanambagumgua mtu mweusi ile mbaya, wewe unakuja kutetea
ubaguzi upo nchi zote na jamii zote lakini kuna baadhi ya nchi zinafanya juhudi kubwa kuondoa kabisa ubaguzi ila nchi nyingine ubaguzi ni kama sehemu ya utamaduni wao, na nchi hizo ni nchi za kiarabu.!
Teheteheeee unajua adi post location.....mkuuKuna wadada walikwenda Arabuni na kufanikiwa kufanya kazi za utumishi wa ndani ma wamerudi katika nchi wakizotola wakiwa salama.
Ninadhani dhana muhimu ni kuwafahamisha wadada wanao kwenda huko kuhakikisha kuwa kila mkataba ni halali kisheria.
Kujiunga na mtandao wa telegram, ukianza kunyanyaswa post location ya mahali ulipo.
Dada zetu wabishi sana sana, uroho wa pesa wawafanya kutosikia, kuona au kushauriwa, wanapenda pesa za haraka haraka kama wauza unga !Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China.
Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa, nikiwa Dubai, Polisi wa UAE walivamia sehemu moja ambayo ni pub maarufu na Wageningen wa Kizungu na kuwakamata wadada wa Kitanzania zaidi ya 30 waliokuwa wanajiuza eneo lile.
Swala kama hili nimeambiwa na rafiki yangu mmoja mfanya biashara anayeishi Istanbul Kwamba siku chache, alikutana na mdada wa Kitanzania aliyefanyiwa kitu kibaya na Waturuki kwani baada ya kufika, walinyang'anywa paspoti na kuingizwa kwenye Danguro.
Na haya mambo siyo tu Uturuki, Wadada wa Kitanzania wengi wanatumikishwa, Dubai, China (Macau na Gwanzhou) Uturuki na Oman.
Nadhani ni vyema serikali inaingilia kati hili swala la hawa vijana kabla halijawa bomu, maana wanaokimbia nchi ni wengi sana. Hasa sasa hivi, wadada ni wengi sana.
too shallow to comprehend what i saidHivi unajua ulichokiandika? Sasa unakataa nini na unakubali nini?
Wapi mimi nimekwambia kuna sehemu hakuna ubaguzi?
Mbona hata hapa tanzania kwetu unyanyasaji upo ,tukomeshe kwanza hapaNadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China.
Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa, nikiwa Dubai, Polisi wa UAE walivamia sehemu moja ambayo ni pub maarufu na Wageningen wa Kizungu na kuwakamata wadada wa Kitanzania zaidi ya 30 waliokuwa wanajiuza eneo lile.
Swala kama hili nimeambiwa na rafiki yangu mmoja mfanya biashara anayeishi Istanbul Kwamba siku chache, alikutana na mdada wa Kitanzania aliyefanyiwa kitu kibaya na Waturuki kwani baada ya kufika, walinyang'anywa paspoti na kuingizwa kwenye Danguro.
Na haya mambo siyo tu Uturuki, Wadada wa Kitanzania wengi wanatumikishwa, Dubai, China (Macau na Gwanzhou) Uturuki na Oman.
Nadhani ni vyema serikali inaingilia kati hili swala la hawa vijana kabla halijawa bomu, maana wanaokimbia nchi ni wengi sana. Hasa sasa hivi, wadada ni wengi sana.
Duu!! Aisee!!Mtemvu aliyekuwa mbunge wa Temeke enzi za JK. Yeye ni wakala wa kuwasafirisha hawa wadada!
waarab sio watu aisee, ila tatizo mabint zetu nao wanatamaa mnoMaana huko ni kuliwa tg mwanzo mwishooo
[emoji2958][emoji2958][emoji6][emoji854]Kwa mtu mwenye mchumba wake au mkewe anajua mtu wake anafanya kazi China au Dubai, akiona nyuzi kama hii mapigo ya moyo lazima yapande aisee.
Usiwaone hawa wadada wenye viduka kinondoni na sinza wakikuambia wanaenda dubai,uturuki etc basi ujue hko ni kwenda kuuza tg mwanzo mwishooowaarab sio watu aisee, ila tatizo mabint zetu nao wanatamaa mno
Kama mke au dem wako anakwenda hko basi lazima ataliwa sanaaKwa mtu mwenye mchumba wake au mkewe anajua mtu wake anafanya kazi China au Dubai, akiona nyuzi kama hii mapigo ya moyo lazima yapande aisee.
Kama ni mfanyakazi wa shirika kubwa na amepangiwa apartment kampuni ndio inamlipia kila kitu je?🤔Kama mke au dem wako anakwenda hko basi lazima ataliwa sanaa
Kwanza kinachowafanya waliwe ni kutaka mremko mfano malazi na kula hawataki kutumia pesa zao,asilimia kubwa wa wanawake wanaliwa
Naongea hii nikiwa na ushahidi wa kuona kabisa
Ova
Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China.
Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa, nikiwa Dubai, Polisi wa UAE walivamia sehemu moja ambayo ni pub maarufu na Wageningen wa Kizungu na kuwakamata wadada wa Kitanzania zaidi ya 30 waliokuwa wanajiuza eneo lile.
Swala kama hili nimeambiwa na rafiki yangu mmoja mfanya biashara anayeishi Istanbul Kwamba siku chache, alikutana na mdada wa Kitanzania aliyefanyiwa kitu kibaya na Waturuki kwani baada ya kufika, walinyang'anywa paspoti na kuingizwa kwenye Danguro.
Na haya mambo siyo tu Uturuki, Wadada wa Kitanzania wengi wanatumikishwa, Dubai, China (Macau na Gwanzhou) Uturuki na Oman.
Nadhani ni vyema serikali inaingilia kati hili swala la hawa vijana kabla halijawa bomu, maana wanaokimbia nchi ni wengi sana. Hasa sasa hivi, wadada ni wengi sana.
Hata huku Tanzania kuna watu wanawafanyia ukatili kina dada wa kazi na wengine huuawa.Binadamu wema na wabaya wapo kwenye jamii zote duniani,kuwahukumu waarabu wote ni wabaya kupitia wachache ni kutowatendea haki.
Siku hizi wanapitia south africa, hizi agency ziwasafirisha Hadi south kwa Basi then ndege Hadi uarabuniWanapitaje pale airport, serikali ithibiti vijana kwenda nje bila sababu au vielelezo vilivyojitosheleza. Kwa kazi ambazo siyo rasmi, ni bora balozi wetu aliyeko nje aandike recommendation kwamba ana taarifa za kutosha na eneo analoishi huyo mwajiri...