Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

Kaburi la maalim seif watu wanaenda kuchukua mchanga kisa una mambo mazito.na JPM ni zaidi.
 
Uyu kitendo cha kuazimisha kifo chake kila mwaka ,kila siku ikifa uko aliko mateso yaongezeka, waliopotea kupitia mikono yake watakua wanampa za chambe sana
 
Kaburi la maalim seif watu wanaenda kuchukua mchanga kisa una mambo mazito.na JPM ni zaidi.
Nusura kaburi la maalim seif lifutike pale,wapenba kila siku walikuwa wanachota mchanga mpaka serikali ikaingilia kati
 
Kumbewapumbavu mpowengi kazikwe nae nanianahamu nahuyo mufilisi alikuwa anauwa elimu taratibu iliatawale milele aunguzwehuko namoto wajahanamu alipo
 
Mkuu nimeku PM
 
Waliweke pale tuwe tunaenda kulipiga hata mateke
Yaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.
 
Tuondosheeni ujinga.
 
iko namna.
Hata la Marehemu Drt. Omari Ali Juma aliyekuwa Makamu wa Raisi katika Utawala wa Mkapa kipindi cha miaka mitano ya Kwanza bado linalindwa hadi leo.!
Heavy metals NYINGI ni nonbiodegradable materials kama cyanides na Mercury ni rahisi ku zi trace !!!
Wakemia wamenielewa!!
 
Kwa kufanya hivyo umaskini wa nchi hii utaisha?
Watoto wetu watapata elimu Bora? Vipi tatizo la umeme na maji litamalizika?

Wakulima watapata solo Bora Kwa mazao yao?

Huduma za afya zitaimarika?

Hivi mbona idadi ya wapumbavu inaongezeka Kwa Kasi sana ndani ya nchi hii?
 
Ni lini wananchi walikupa mamlaka ya kuwasemea ewe mfuasi wa marehemu
 
Samahani mkuu, Naomba uorodheshe hayo "mengi" aliyofanya kuliko Maraisi wengine

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…