Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu kitendo cha kuazimisha kifo chake kila mwaka ,kila siku ikifa uko aliko mateso yaongezeka, waliopotea kupitia mikono yake watakua wanampa za chambe sanaNajua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Hata la Mkapa na Nyerere yanalindwa.Kaburi la Sokoine limelindwa kwa miaka mingi pia japo sijui kwa sasa.Ni kawaidaHivi kwanini kaburi la Magufuli lilindwe ?
Wanalinda nini ?Hata la Mkapa na Nyerere yanalindwa.Kaburi la Sokoine limelindwa kwa miaka mingi pia japo sijui kwa sasa.Ni kawaida
Kumbewapumbavu mpowengi kazikwe nae nanianahamu nahuyo mufilisi alikuwa anauwa elimu taratibu iliatawale milele aunguzwehuko namoto wajahanamu alipoNajua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Ili kuzuia watu wenye hasira kali wasijisaidie haja zao juu ya kaburi hilo. Nakumbuka hata mtetezi wa CCM mkubwa kwa sasa #kigogo2014 aliahidi kufanya hivyo apatapo nafasi.Hivi kwanini kaburi la Magufuli lilindwe ?
Mkuu nimeku PMNajua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Yaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.Waliweke pale tuwe tunaenda kulipiga hata mateke
Tuondosheeni ujinga.Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka sehemu ya wazi hususan Dodoma, Nyerere Square. Sehemu ya wazi kabisa katikati ya nchi, makao makuu ya chama na serikali bila kufukua mwili wa baba yao.
Baada ya hapo taratibu zote za kulihamisha zinafuatwa ila kiualisia mwili unabaki kulekule Chato, Dodoma linapelekwa jeneza tupu huku camera za waandishi zikimulika tukio la kuzikwa upya kwa hayati Magufuli, inabaki kuwa siri ya familia na viongozi wachache wa juu kuwa mwili ulibaki Chato na pale Dodoma ni kanyaboya.
Faida zake itavutia watalii sana kulitembelea kaburi lake, pili wabaya wake watapata wasaa wa kwenda kulidhiaki na kinyongo kitaisha, waliompenda wataenda kutambika na kumuombea na kupiga selfie.
Hii ni kawaida kwa wakristo kuhamisha makaburi, Kardinari Laurian Rugambwa alifariki mwaka 1997 na kuzikwa kwenye kanisa la Kashozi ila mwaka 2012 kaburi lake likahamishiwa kanisa kuu la Bukoba Cathedral ambalo lilikuwa kwenye matengenezo makubwa kipindi Rugambwa anafariki.
Note: Kaburi la sasa la Hayati magufuli liko uani kabisa chini ya ulinzi mkali, tarehe 17 March niliomba kulitembelea ili nikatambike nikazuiwa, najua watanzania wengi wanatamani kulitembelea kupiga nalo picha na kutambika ila kwa zile SMG za walinzi hata ile kusogelea nyumba tu wanaogopa.
Amin amin nawaambia kwa kufanya hivyo kila mwaka tarehe 17 March Dodoma itakuwa inajaa wageni mpaka mji utashindwa kuwahost
Wanachukua mchanga wa kazi gani sasaNusura kaburi la maalim seif lifutike pale,wapenba kila siku walikuwa wanachota mchanga mpaka serikali ikaingilia kati
Heavy metals NYINGI ni nonbiodegradable materials kama cyanides na Mercury ni rahisi ku zi trace !!!iko namna.
Hata la Marehemu Drt. Omari Ali Juma aliyekuwa Makamu wa Raisi katika Utawala wa Mkapa kipindi cha miaka mitano ya Kwanza bado linalindwa hadi leo.!
Sagia kunguni kabisa!Wacha ujinga wako basi! Magufuli wa kazi gani huyo Sheitwani mkuu! Mwacheni aendelee kuungua jehanamu kwa raha zake! Nyambafu zako
Acha unaa wewe!Kaburi la maalim seif watu wanaenda kuchukua mchanga kisa una mambo mazito.na JPM ni zaidi.
Na nyie wafuasi wake kwenda kuabudu hapo au siyoUtalii, kutambika, na watesi wake kwenda kutema nyongo pale ili hasira ziishe
Ni lini wananchi walikupa mamlaka ya kuwasemea ewe mfuasi wa marehemuYaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.
Samahani mkuu, Naomba uorodheshe hayo "mengi" aliyofanya kuliko Maraisi wengineYaan nyie mnaomchukia Marehemu Dr Magufuli ,Rais aliyefanya mengi kuliko Rais yeyote Tanzani(Nukuu ya Rais mstaafu Mwinyi) ni wachache sana.Watanzania wengi sana ,wanamkubali sana yule mwamba.Nyie wachache ,ambao mlikuwa mafisadi ,mkiongozwa na timu Msoga et al,na wenye vyeti feki,majambazi ndio mnaomtukana mwamba.Kama mnabisha tukio la kujazwa maji ya bwawa la umeme timu Msoga et al,waliaibika sana.Magufuli alishangiliwa sana sana ,Mara baada ya mwakirishi wa familia kuchukua Zawadi.Uzinduz wa MV Mwanza naona mama na timu Msoga waliingia mitini.Kwa hiyo mtatukana sana hapa jamvini lakin wananchi hawawataki.Wanataka mtu Kama JPM.Tusuburi na tupewe uhai tutaona mengi.Regards.