Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Hii comment ingekuwa pinned juu kabisa, kila mtu aione.

Jamaa katoka kumwaga povu kuhusu ujio wa Sultan zanzibar, kahamia kwa Dr Zakir. Ni mtafutano kila sehemu 🀣
 
Rubbish.
 
Huyo muhubiri apigwe marufuku,ni moja ya mawakala wa ugaidi,tuwe makini nae kukaribisha watu kama hawa nchini ni kuleta mtafaruku hasa ukizingatia mada yake imekaa kichochezi na leo ovu nyuma yake.
SIku zote muislamu msomi huwa anaogopeka kuliko hata kitu chochote πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ subhanallah
 
Akina Ibrahim, Daudi na Daniel tukiwaongelea bado mtaleta vurugu. Injili hamuitambui, na Yesu mnamuongelea kiislam sio kweli kama mnatambua. Yesu alishiriki meza ya Bwana. Yesu alimzumgumzia Roho mtakatifu. Yesu alikufa msalabani. Yote haya hamuyakubali.
 
Reactions: Cyb
Muhammad anatikiwa afaninishwe na akina mtume Petro au Paulo

Muhammad siyo wa kumlinganisha na YESU KRISTO ni dhambi kubwa sana na mtakuja kuilipia
Yesu (alayhi salaam) aliomba dua awe muumin kwenye uma huu wa mtume muhamad (peace be upon him) na Allah (the almighty ) akamjibia dua yake si yeye tu mitume woote waliopita walitamani kuwa sehemu ya umma huu .
 
Mkuu tafadhali peleka hoja nzito nzito uthibutishe ksamba jamaa yupo unga au unafurahia jinsi hoja zake nyepesi zinavyowasilimisha wakristo wenzako πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Anayesilimu hajasoma Quran. Ni maamuma asiyejua chochote. Tutaichambua Quran, sawa na muislam alivyo huru kuichambua Biblia, ndiyo maana waislam wanaritadi kwa maelfu
 
Oh! Unataka mitume waongelewe kikristo ? Mmewaongelea vipi zaidi ya kuwatukana na kuwadhalilisha ? Kuna waliotembea na watoto wao wa kuwazaa, kuna waliotokana ni kizazi cha kahaba , kuna waliozini na wake wa rafiki zao, kuna waliokuwa wachawi, imefikia hatua Mungu wa biblia anatukana taifa zima anaita Malaya .

Dude hebu kaa chini kwanza usome kitabu chako kisha ukikielewa nina imani utakuwa ushakuwa muislamu , maana quran imewasifu na kuwapandisha darja mitume na wachamungu si kama biblia .
 
Anayesilimu hajasoma Quran. Ni maamuma asiyejua chochote. Tutaichambua Quran, sawa na muislam alivyo huru kuichambua Biblia, ndiyo maana waislam wanaritadi kwa maelfu

"Waislamu wanaritadi kwa maelfu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shushia kwanza maji mkuu sawa ? Hii itabaki kuwa ndoto ila jua hivi kwa kila muislamu mmoja anayeritadi nyuma yake kuna wakristo elfu kumi wanasilimu just angalia dini inayokuwa kwa kasi zaidi duniani ulete hapa hizo data just few google searches.

Halafu kwenye mdahalo wa jamaa unaruhusiwa kuichambua biblia kama ulivyosema ndiyo maana ninataraji uende pale ukiwa na hoja zako hizo πŸ˜‚ Nasubiri kwa hamu mkuu .
 
Jesus au Yesu kristo ni tofauti kabisa na mtume wao wanaomtambua kama Issa bin Marium. Wao wamulinganishe huyo na mtume Mohamed
Mkuu kinachoangaliwa nadhani ni kile kinachokusudiwa japo kukawa na utofauti wa maelezo, mfano waislamu huwaelezea majini kama ni viumbe tofauti na malaika na binaadamu ila wakristo wanapozungumzia malaika waliyoasi hukusudia majini.
 
Huyo mhindi hajui Yesu ni Mungu hadi amshindanishe na Mohammad?
Amechoma nauli bure.
 
Ustaarabu, tuelimishane. Dude au nini hainisaidii. Nikikuambia makosa ya Quran uwe mpole. Kuzaa na watoto au maovu yote yaliyoandikwa katika Biblia yameandikwa kutuonya na sio kuunga mkono uovu. Nionyeshe fungu linalounga mkono uchafu.
 
Amesoma kipi kipya kumtishia mkristo anayeielewa Quran na Biblia kwa usahihi.
"Mkristo anayeielewa quran na biblia kwa usahihi"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kupata kichekesho kama hichi tunabofya wapi? Wewe unaielewa quran kwa usahihi?
 
Ustaarabu, tuelimishane. Dude au nini hainisaidii. Nikikuambia makosa ya Quran uwe mpole. Kuzaa na watoto au maovu yote yaliyoandikwa katika Biblia yameandikwa kutuonya na sio kuunga mkono uovu. Nionyeshe fungu linalounga mkono uchafu.
πŸ˜‚πŸ˜‚ sijataja taja tu hayo yote kwa kuropoka nina aya specific zinazopoint hayo yote vipi unataka nikuwekee ? Nasubiri jibu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…