Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Huna uislamu mmoja, wee ni kafiri kama makafir wengine maana muislamu wa kweli hawi na imani potofu, ya kijinga na ya kishamba kama yako.
 
M
Acheni woga Mwalimu Daniel na Ndacha Wanajadili hizo mada Kila siku hapa na hakuna shida.

Tumeshapita huko? Kama unaona inazingua potezea tuendelee na Lissu na Uchaguzi wa CHADEMA!
Magoli yameshahamishwa !
Mechi ya Mbowe Vs Lissu imeahirishwa mpaka mwakani !
 
Hamna shida mbona, mwaje aje tu!! Au kuna viasharia vya kukuibia fedha zako, au kaonyesha ishara ya kuja kukuibia mkeo!?? Mwache aje zake, atahubir, yako yataendelea, kisha ataondoka. Akikuibia mkeo njoo ulalamike!!
 

1) jesus and Mohammad

2) wewe si muislamu..
 
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
Angekuwa anakuja mpigia kampeni Lissu usingesema hayo!! Mwachen mwenzenu aje ahubiri, akimaliza ataondoka zake!
 
Kuna mkataba wa extradition kati ya India na Tanzania?

Pia huyu ilishindikana kupata red notice kutokana na wanaomshutumu kukosa ushahidi thabiti.
 
W
Watawala waliopo wanapendelea nchi isitawalike, kwa kuinufaisha dini moja. Au ni mkakati wa wazungu kumvuruga na kumharibu mtu mweusi, asiyejitambua wala kujisimamia. Tijuana na kupigana yeye anajichitoe tu, kama Congo DRC.
Wabongo ukitaka kuwavuruga ili wasiwe na umoja kwenye jambo lolote lile waletee issue yeyote itakayohusu Dini zao mbili saa hiyo hiyo watakosana na kuanza kutukanana na kukebehiana !
Bure kabisa !! Wepesi kusahau shida yao ilikuwa ni nini hasa !
Kisha baada ya kutukanana watakuwa pamoja tena kwenye Ubaya Ubwela πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ !
Penati ya kupewa na Goli la mkono πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜³
Bongoland Raha sana ! πŸ™πŸ™πŸ™ŒπŸ‘ 🀣
 
Udini na upumbavu wa wakati wa mzee ruxa vimerudi tena! Hili ndilo tatizo la wageni kukabidhiwa nchi waongoze.
 
Hawajadili ugaidi. Ni maneno tu. Ni mdahalo tu.
Hakuna ugomvi wala kulazimishana dini..
Hakuna matusi..
Wewe umejuaje?! Umeshawahi mfuatilia huko nyuma?!
Unafahamu kwamba alishawahi sema
"WESTERN CULTURE IS HARAM TO MUSLIMS" ?!
 
Kwa hizi comments zako unataka kutuaminisha Tanzania ni nchi ya Kikristo hivyo Waislamu HAWANA haki kama wakristo wasivyo na haki (according to you) Somalia na Uarabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…