Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.
Huna uislamu mmoja, wee ni kafiri kama makafir wengine maana muislamu wa kweli hawi na imani potofu, ya kijinga na ya kishamba kama yako.
 
M
Acheni woga Mwalimu Daniel na Ndacha Wanajadili hizo mada Kila siku hapa na hakuna shida.

Tumeshapita huko? Kama unaona inazingua potezea tuendelee na Lissu na Uchaguzi wa CHADEMA!
Magoli yameshahamishwa !
Mechi ya Mbowe Vs Lissu imeahirishwa mpaka mwakani !
 
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Hamna shida mbona, mwaje aje tu!! Au kuna viasharia vya kukuibia fedha zako, au kaonyesha ishara ya kuja kukuibia mkeo!?? Mwache aje zake, atahubir, yako yataendelea, kisha ataondoka. Akikuibia mkeo njoo ulalamike!!
 
Mimi muislamu lakini mada za dizaini hii, sijui uislamu vs ukristo,muhamad vs Jesus sizifagilii kabisa,kila mmoja abaki na imani yake.

Waislamu kitu ambacho kinatusumbua ni ku resist CHANGE ulimwengu unabadilika bila kubadilisha mitazamo yetu na fikra zetu tutabaki nyuma na kulalamika kila siku. Maisha yamebadilika inabidi tujadili vitu vya maana.

1) jesus and Mohammad

2) wewe si muislamu..
 
Wewe kilaza hata TV ya huyo sheikh imepigwa marufuku na kufungiwa nchi nyingi tu zikiwemo Uingereza na Canada. Unaelewa tolerance kubwa ya kidini iliyopo Uingereza ukipigwa ban ina maana una matatizo makubwa sana??
Angekuwa anakuja mpigia kampeni Lissu usingesema hayo!! Mwachen mwenzenu aje ahubiri, akimaliza ataondoka zake!
 
Kuna mkataba wa extradition kati ya India na Tanzania?

Pia huyu ilishindikana kupata red notice kutokana na wanaomshutumu kukosa ushahidi thabiti.
 
W
Watawala waliopo wanapendelea nchi isitawalike, kwa kuinufaisha dini moja. Au ni mkakati wa wazungu kumvuruga na kumharibu mtu mweusi, asiyejitambua wala kujisimamia. Tijuana na kupigana yeye anajichitoe tu, kama Congo DRC.
Wabongo ukitaka kuwavuruga ili wasiwe na umoja kwenye jambo lolote lile waletee issue yeyote itakayohusu Dini zao mbili saa hiyo hiyo watakosana na kuanza kutukanana na kukebehiana !
Bure kabisa !! Wepesi kusahau shida yao ilikuwa ni nini hasa !
Kisha baada ya kutukanana watakuwa pamoja tena kwenye Ubaya Ubwela 😅🤣🤣 !
Penati ya kupewa na Goli la mkono 🤣😂😳
Bongoland Raha sana ! 🙏🙏🙌👍 🤣
 
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.

Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?

View attachment 3187483
Udini na upumbavu wa wakati wa mzee ruxa vimerudi tena! Hili ndilo tatizo la wageni kukabidhiwa nchi waongoze.
 
Hawajadili ugaidi. Ni maneno tu. Ni mdahalo tu.
Hakuna ugomvi wala kulazimishana dini..
Hakuna matusi..
Wewe umejuaje?! Umeshawahi mfuatilia huko nyuma?!
Unafahamu kwamba alishawahi sema
20241014_035749.jpg
"WESTERN CULTURE IS HARAM TO MUSLIMS" ?!
 
Asante kwa matusi. Hebu kanusha kuwa Boko Haram (waislam) hawachinji WAKRISTO na kubaka wanawake Nigeria na kwingineko. Nihakikishie mimi mkristo naweza kupata kibali Uarabuni kumhuburi Mohamed vibaya na kumuinua Yesu. Nihakikishie kama naweza kufungua Kanisa Somalia sawa na wewe unavyoweza kuanzisha msikiti hapa. Hapo kati yetu nani ana chuki ?
Kwa hizi comments zako unataka kutuaminisha Tanzania ni nchi ya Kikristo hivyo Waislamu HAWANA haki kama wakristo wasivyo na haki (according to you) Somalia na Uarabuni.
 
Back
Top Bottom