The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hivi unajielewa kweli?Naandika kwa ushahidi wa kutosha na kwa kuishi maeneo hayo na kwa hapa Dar kuna kundi kubwa sana la wadada wa kizaramo,wakwere na wadengereko wanao OKOKA na kuolewa na vijana wa kikristo
Nimehudhuria harusi kama 14 ndani ya mwaka huu ambapo mabinti wa kiislam wanabadili dini na kuwa wakristo ili kuoleka
Leo ukienda kwenye Makanisa mengi hasa haya ya kinabii,utakuta kuna Wamama wengi sana wa kiislam wameokoka
Walikuchukia wapi?..sasa ukiabudu ng'ombe wasikudharau?Waislamu wanachuki bhana na kudharau dini za wenzao
Sio wengi karibu wote. Ni kwa vile tu wamejikuta miongoni mwa mchanganyiko.Waislamu wengi ni wabaguzi sana
Keshatua Bongo, atafanya kazi yake ataondoka na nyie bakini na mikelele yenu ila HAMNA CHA KUMFANYA ZAIDI YA KUUMIA ROHO ZENU TUNimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini.
Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata usio wa lazima na India ambao ni marafiki zetu wakubwa na washirika muhimu wa kibiashara na maendeleo?
View attachment 3187483
Wewe jamaa ni mjinga sana,Asante kwa matusi. Hebu kanusha kuwa Boko Haram (waislam) hawachinji WAKRISTO na kubaka wanawake Nigeria na kwingineko. Nihakikishie mimi mkristo naweza kupata kibali Uarabuni kumhuburi Mohamed vibaya na kumuinua Yesu. Nihakikishie kama naweza kufungua Kanisa Somalia sawa na wewe unavyoweza kuanzisha msikiti hapa. Hapo kati yetu nani ana chuki ?
Kwani tanzania nchi ya kikristo?..hivi nyie vichwani huwa mna ubongo au kamasi?.. Somalia hakuna wakristu?.. arabuni hakuna wakristu?..antibalaka siyo wakristu?.. angola hawakubomoa misikiti?..ufaransa hawapigi marufuku hijab?Asante kwa matusi. Hebu kanusha kuwa Boko Haram (waislam) hawachinji WAKRISTO na kubaka wanawake Nigeria na kwingineko. Nihakikishie mimi mkristo naweza kupata kibali Uarabuni kumhuburi Mohamed vibaya na kumuinua Yesu. Nihakikishie kama naweza kufungua Kanisa Somalia sawa na wewe unavyoweza kuanzisha msikiti hapa. Hapo kati yetu nani ana chuki ?
Waanzisha mijadala ya kashifa na kejeli dhidi ya waisilam humu, huwa wanaanzisha mijadala kwa misingi ya kilinganisha kati ya uisilam na ukristo.Members wa hili jukwaa sio Wakristo na Waislamu tu, kuna Atheists na waumini wa dini za kienyeji pia.
Umewahi kulijua hili??
Kwani atheist hawezi kufanya hivyo??Waanzisha mijadala ya kashifa na kejeli dhidi ya waisilam humu, huwa wanaanzisha mijadala kwa misingi ya kilinganisha kati ya uisilam na ukristo.
Anaye enda kujadiliwa ni yesu na sio wakristo , wakristo hawana hati miliki ya yesu mpaka useme kuwa waisilam hawana ruhusa ya kujadili yesu.Waislam wakifanya mkutano wakapata majanga wenyewe au WAKRISTO wakifanya mikutano wakafa huko sioni walivyoingilia Imani ya mwingine. Shida ni pale mkristo atakapoandaa mkutano mahususi kuwasema waislam je, anaweza kufanya hivyo Uarabuni ? Kama NJ I tatizo au haiwezekani mkristo kufanya mikutano huru kwa uislam mbona iwe ruhusa na rahisi kwa muislam kuandaa mkutano wa kukashifu ukristo na kulindwa na serikali ? Huko Nigeria hamjasikia chuki iliyopondwa na Boko Haram wanavyochinja WAKRISTO kama kuku na kuteka wanawake na kuwabaka kama mateka wa ngono ?
Waathirika wakubwa wa matendo ya boko haramu ni waisilam hata wale wanafunzi wa choboko waliotekwa %70 ya wanafunzi hao walikuwa waisilam.Asante kwa matusi. Hebu kanusha kuwa Boko Haram (waislam) hawachinji WAKRISTO na kubaka wanawake Nigeria na kwingineko. Nihakikishie mimi mkristo naweza kupata kibali Uarabuni kumhuburi Mohamed vibaya na kumuinua Yesu. Nihakikishie kama naweza kufungua Kanisa Somalia sawa na wewe unavyoweza kuanzisha msikit hapa. Hapo kati yetu nani ana chuki ?
Kama Yesu ni WA wote na Mohamed ni mtume wa wote msikasirike au kukereka akihubiriwa na kuchambuliwa msiamzishe jazba na vurugu. Quran iko wazi na tunayo.Anaye enda kujadiliwa ni yesu na sio wakristo , wakristo hawana hati miliki ya yesu mpaka useme kuwa waisilam hawana ruhusa ya kujadili yesu.
Yesu ana tambulika kama nabii ndani ya uisilam
Kiingereza unakijua vizuri?..au uliishia kukariri newtons laws of motion
Yeye hatukanini dini nyingine. Waislamu pia wanaomwamini Yesu ni mtumishi wa Mungu/mtume wa Mungu. Hivyo si shida kumuweka hapa. Tatizo wengi wetu tunaogopa uislamu na kuuwazia mabaya. Dini hiyo ni ibrahamic religion. Ni mpango wa Mungu kama ilivyo kwa uyahudi na ukristo. Hakuna awezaye kuifuta au kuipunguza. Usipambane na kitu ambacho utakufa na utakircha kikiendelea kustawi. Uislrmu hsuhubiri chuki, achilia mbali waislamu wachache wakihubiri chuki, ni wao na siyo imani nzima.Nikubalieni na mimi niandae mafundisho dhidi ya dini zingine/uislam uwanja wa Mkapa.