Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Tafuta sehemu nilipo sema,mtoa mada ni mzanzibar,
Nimeongea lugha jumuishi "wazanzibar"
Halafu usiepuke hoja ,usilete hisia jikite kwenye hoja
Umenitaja mimi kuwa mzanzibari....mara moja hii unataka kuhamisha magoli ?!!!

Nasubiri unithibitishie uzanzibari wangu kabla sijaendelea udadavuzi.....

Nasubiri.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka waarabu ndio walikuwa wanauza watanganyika na kuwanyanyasa. Aliyewahi kuuza waafrika kwa jina la watumwa na kuwanyanyasa sana hawezi kuja kuwaendeleza waafrika. Watanzania amkeni acha kudanganywa na imani waarabu sio ndugu zetu. Walifaidi fedha za kuuza mababu zetu, bado hazitoshi wanataka kuja tena!
Nawathadharisha wasije amsha hasira, hasira inaweza kuwa mbaya sana.
 
Mkutano wa Kwanza upigwe MBEYA

CC Erythrocyte
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jana usiku mwingi sijamuona "Erthyrocyte"...si kawaida yake...

Atakua yuko bize....atakuwa yuko jikoni...unakumbuka yale maneno yake DHIDI ya Mh.Nape Nnauye baada ya kumshambulia baba yake wa imani ya siasa(mh.Mbowe)...anaandaa mashambulizi-kujibu(counter attacks)...

Pia atakuwa yuko bize kwa ajili ya hii "inshu" ya DP WORLD si unajua CHADEMA ni chama cha matukio....?!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingiimnooo[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umelishwa matango pori huko unakuja kututapikia usoni.....[emoji1787]

Nani asiyejua waarabu wa Oman walifanya hayo?!!!

Kwani hawa waarabu wa DP WORLD ni waomani ?!!!

Je hofu ya waarabu hawa wa DUBAI wamekataliwa huko MSUMBIJI NA SENEGAL kwa kigezo kuwa walifanya utumwa?!!![emoji1787][emoji1787]

Hivi Qatar si waarabu ?!!!

Wazungu wenye kuiongoza FIFA waliwanyima kuandaa KOMBE LA MPIRA LA DUNIA kwa kuwa tu ni waarabu walioshiriki "utumwa"...?!!!

Kwa hiyo hawa waarabu wa DUBAI walituchukua watanganyika/wazanzibari utumwa?!!! Thibitisha.....

Kwa hiyo WAZUNGU hawakushiriki biashara ya utumwa?!!!

Kwa hiyo katika migodi yetu waarabu ndio wanaoikausha kabla ya uhuru ,baada ya uhuru na kutufanya tupate mrahaba 3% dividend mpaka alipokuja hayati JPM na "kusukuma" kuongezeka kidogo ,ni waarabu wale ?!!! Ni waarabu wa kutoka Dubai ?!!![emoji15][emoji1787]

Kwa hiyo wazulu ,wakoxha ,wa San wa Afrika kusini wanaendelea kuwa masikini na uchumi wao kushikwa na wachache ambao ni waarabu ?!!!

Kwa shida za waafrika kusini weusi juu ya kuishi katika ardhi tajiri na kubaki mafukara kufikia kuwachukia wahamiaji(waafrika wenzao) zimesababishwa na WAARABU tena hao WADUBAI ambao wamekuja kuwekeza ili wapate nasi tupate katika hili SOKO HURIA.....?!!!

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukapimwe akili !!!
Unajua Muundo wa proteins??Mineral salts ,and vitamin?
How zinarelate na udongo? How
Labda nikusaidie jambo
Kuna aina mbili za protein ambazo ni "essential " na non essential" ,essential mwl unajitengenezea wenyewe non essential tuna ipata kea baadhi ya mimea na wanyama, ikiwa processing tayar as protein, sisi hatuna shughuri na udongo kabisa,
Vitàmin kwa kwenye baadhi ya vyakula vya mimea, mineral the same hakuna mineral wala protein tunayoiitaji kwenye udongo,
Mtanganyika wa kyera awe na uchotara na
Halafu nani kafanya "child abuse"
Hapa mbona unaanza kuchizika ?
Watanganyika si machotara kwa sababu wazanzibar hawapend mabinti zao waolewe huku,ni kiasi kichache sana wanaoana wao kwa wao??
Short ni kuwa huna hoja?
Hoja ni Muungano haumfaidishi mtanganganyika,Tunataka haki sawa,Au tuvunje Muungano
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
 
It's automaticaly huzo SMZ uwezo wao n mdogo sana mkuu ,

Ukienda huko utaona mambo yao yanavyofanyka na Taifa lile ni dogo. Hawez kuw competent kusimamia Huku kwa ukubwa wa TAIFA na usimamiz Mpana zaid
 
Utaheshimika kwa kile unachodeliver ktk nafasi uliopewa, Wazenji deliverence yenu imekuwa ya hovyo mno kwenye hiyo ngazi ya maamuzi...mnapendelea vitu vyepesi vyepesi mno
 
Unalaana si bure haiwezikani kila mtu anamashaka na huu mkataba mpaka alioungia we umebaki anaupiga mwingi mamaye watu ka nyny hatakutolewa kafara haifai
Mnapotosha na kuchafua hali ya hewa nisiseme?!!

Tusiseme?!!

Laana ninayo mimi niongeaye ukweli ama unayo wewe?!!!

Jua la utosi halijapanda....sitoi lugha za ukakasi......[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa badara ya kujibu hoja unaanza kutukana ,hoja hatuoni manufaa ya Muungano,nipe manufaa kwa watanganyika,wanzibar lazima wautetee ,?
Mkiulizwa mtupe manufaa mnakimbilia mara kwenye dini,? Sijui ubaguzi? Wakati nyie ndo wabaguzi wakubwa na dini ipo pote na sasa hivi unaanza kutukana huna haibu?
Jibu hoja hatutaki Muungano usiyo tunufaisha unachoongea ni hisia tu!
Mara child abuse,mara chotara,mara protein hata havirelate na Muungano na hoja ?
Short sielew maana yake unajitungia hisia zako kichwani badala ya kubadili hoja
 
Bunge ndiyo ratification ya mwisho kwenye mkataba.

Kutafuta maoni baada ya kupitisha kitu bungeni ni ujinga sana.
 
Padri Kitima ni moto wa kuotea mbali, alieleza hoja nziro Kwa Lugha laini, Halafu kama anskunywa DODOMA wine!
Padri hana jipya, ni yale yale ya Tundu Lissu. Hata mkataba mwenyewe kakiri ni feki, alipewa na Tundu Lissu. Kadiriki kurudia maneno ya Tundu Lissu kuwa Bunge si Wabunge, waliiba kura. Yaani yeye Kitima ndiyo wananchi wameenda kwake kulalamika. Hoja zote alizosema ni za Tundu Lissu. Sijui itakuwaje.
 
Na Watanganyika wangekuwa wanapata haki sawa huko Znz ungeeleweka.
Mtu katoka Paje na Makunduchi leo unampa uwaziri wa miundombinu ya Tanganyika kama sio laana ni nini. Mbona hakuna Waziri kule Mchamba wima. Hili la Bandari mama atajuta nalo hili. Kajishaua kutoa hela kwa kila goli kumbe ana hela ya Mdubai.
 
Swala la bandari utadhani DP world ilisaini na vipofu..

Ni wazi mtu mwenye akili timamu hawezi saini mkataba wa kijinga kama huu..

Kuna kila dalili za upendeleo either kwa rushwa au kwa sababu tuu wana dini zinazo fanana
Tabutupu hawa viongozi wetu ni laana sana.
 
Mnapotosha na kuchafua hali ya hewa nisiseme?!!

Tusiseme?!!

Laana ninayo mimi niongeaye ukweli ama unayo wewe?!!!

Jua la utosi halijapanda....sitoi lugha za ukakasi......[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukweli gani ulionao wewe wakati waziri mwenye dhamana anabunyaa bunyaa tuu???
Ifikie hatua muache ubinafsi na kuingalia leo tuu, kwan ccm au huyo samia akifanya vizuri utapungukiwa nini??
Na kwann usimshauri jambo zuri ukimuona anaenda wrong?? Ni mara ngap marais wanadai kupotoshwa na washauri wao?? Kwann saiti ya umma isiwe ni mahala pakujisahihisha?? Yote ni kwasababu anamaslai binafsi na ninyi wasaliti mnanufaika nalo....
Haiwezekani kila kada ione shida hii useme upendwi.. waambie kama wanadhani hawapendwi wahame nchi na si watuueze au muuzwe ninyi machawa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…