KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pia kumbuka hizo nyumba (kiwanja) utakuta kuna MITA zaidi ya 1 na wao wanakata siyo kwa idadi ya nyumba bali idadi ya MITA. Maana yake zile apartments au nyumba za wapangaji zenye mita zaidi ya 1 kila mita itakatwa 1500 kila mwezi. Bado mita za maduka, saloon na salon, makanisa, misikiti, mashule, majumba ya starehe, nk. Yani pesa inayokusanywa kwa mwezi inaweza kuwalipa wafanyakazi wa uma mshahara na kubaki nyingi za kutosha.
 
Waliposema Mpitie Mswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2024/2025 mlikuwa Bize Kuangalia maandamano ya Kenya..

Mlipoitwa kupeleka Maoni yenu Bungeni, Hamkwenda na Mliacha Bunge peke yake ndo liamue..
Sasa Mnalia Nini?
Tulia Dawa Iingie..
Siku nyingine mkiitwa Kutoa Maoni na kuchNgia Mpate muda wa Kufanya hivyo
 
Mkuu mie nimeupitia mswada hakuna sehemu wanasemaa kuongeza tozo za pango la Ardhi hakuna
 
Ngoja watunyooshe Hadi siku tuamue kuamka
 
una maanisha nini? funguka kama una kitu cha kusema
Nimesapoti comment yako kwamba,,kodi haijapanda ila walio lalamika walikuwa na madeni yao binafsi ndio maana ilionekana wamekatwa elfu mbili

Kwahiyo hawakuangalia uhalisia wa mambo na kujiridhisha badala yake wote wameanguakia kupitia maoni ya mtu mmoja ndio wakafanya kuwa ni hali halisi kitu ambacho sio kweli
 
MAMA ANAUPIGA MWINGI PASI ANATOA MWIGULU
 
Duuuh 🙄
Yaani mama anaongoza kwa kukopa yeye
Gharama za mawasiliano yeye
Kodi ya luku yeye
Kero TRA yeye
Nadhani huyu Mama Mchawi sio bure
 
Hawa Jamaa wanatuibia sana ,leo kuna jamaa alikuwa na emergence akata nimtumie elfu 17 ,nikatoa BANK kwenda kwenye simu yake aiseee wamenikata Buku 2.....Huu wizi sijui kama BOT wanajua.
Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.
 
Sasa kwa nini wasitoe taarifa kwa umma watu wakajua nini kinaendelea, hii nayo ni taharuki kwa wananchi. Watu wanaichukulia jero kimasihara sana hawa.

Kabisa ,watu tuliamini kama Kodi ya pango imepanda.
 
Wangeweka sh 5000 kabisa ili Watanzania watoke usingizini.

Vijana kazi kuvuta shisha tu hata kinachoendelea duniani hawajui.
Blaza acha kulalamika sana,soko litaamua lenyewe hata ipande hadi hiyo 5000 hakuna shidaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…