Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kumbuka hizo nyumba (kiwanja) utakuta kuna MITA zaidi ya 1 na wao wanakata siyo kwa idadi ya nyumba bali idadi ya MITA. Maana yake zile apartments au nyumba za wapangaji zenye mita zaidi ya 1 kila mita itakatwa 1500 kila mwezi. Bado mita za maduka, saloon na salon, makanisa, misikiti, mashule, majumba ya starehe, nk. Yani pesa inayokusanywa kwa mwezi inaweza kuwalipa wafanyakazi wa uma mshahara na kubaki nyingi za kutosha.Shida ya watanzania ni moja tuh, wanaopenda kufanya maandamano hewa yaani ya mtandaoni tuh.
Twende Kwenye uharisia pesa za wa Tanzania Kwenye nyumba tu mfano tuna nymba milioni kumi zenye umeme maana yake Kwa buku tu wanakusanya bilioni kumi Kwa mwezi.
Ukija Kwenye matozo mengine ni mamia ya mabilioni Kwa mwezi.
Je kama tunakopa pesa za ndani hizi zinaenda wapi??
Wewe itakuwa una ugomvi personal na serikali tukufu 🤣wakuu mbona mimi wamenikata zaidi inamaana wamenifanya ng'ombe wao wa maziwa. wamenikata elfu 6 serious?View attachment 3030837
Mkuu mie nimeupitia mswada hakuna sehemu wanasemaa kuongeza tozo za pango la Ardhi hakunaWaliposema Mpitie Mswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2024/2025 mlikuwa Bize Kuangalia maandamano ya Kenya..
Mlipoitwa kupeleka Maoni yenu Bungeni, Hamkwenda na Mliacha Bunge peke yame ndo liamua..
Sasa Mnalia Nini?
Tulia Dawa Iingie..
Simu nyingine mkiitwa Kutoa Maoni na kuchNgia Mpate muda wa Kufanya hivyo
Ngoja watunyooshe Hadi siku tuamue kuamkaPia kumbuka hizo nyumba (kiwanja) utakuta kuna MITA zaidi ya 1 na wao wanakata siyo kwa idadi ya nyumba bali idadi ya MITA. Maana yake zile apartments au nyumba za wapangaji zenye mita zaidi ya 1 kila mita itakatwa 1500 kila mwezi. Bado mita za maduka, saloon na salon, makanisa, misikiti, mashule, majumba ya starehe, nk. Yani pesa inayokusanywa kwa mwezi inaweza kuwalipa wafanyakazi wa uma mshahara na kubaki nyingi za kutosha.
Nimesapoti comment yako kwamba,,kodi haijapanda ila walio lalamika walikuwa na madeni yao binafsi ndio maana ilionekana wamekatwa elfu mbiliuna maanisha nini? funguka kama una kitu cha kusema
MAMA ANAUPIGA MWINGI PASI ANATOA MWIGULUKwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
======
View attachment 3030953
Mimi natumia wastani wa sh 70,000 kwa mwezi ambazo ni unit kama 190.Ha ha ha mbona huko nyuma tulikuwa tunapa unit 73 kabla ya kuanzishwa TOZO ya nyumba. Au wewe matumizi madogo na kuondoa service charge unaelewa nini.
Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.Hawa Jamaa wanatuibia sana ,leo kuna jamaa alikuwa na emergence akata nimtumie elfu 17 ,nikatoa BANK kwenda kwenye simu yake aiseee wamenikata Buku 2.....Huu wizi sijui kama BOT wanajua.
Hata kama unit unazo ikifika mwisho wa mwezi n kulipa hela ya watu ili usijelipa hela nying baadaeHapa ulipata umeme kweli au ulilipa Hela ya pango.
Andamaneni acheni uoga kenya mbona wameweza mnasubiri nini??zilizopo
Sasa kwa nini wasitoe taarifa kwa umma watu wakajua nini kinaendelea, hii nayo ni taharuki kwa wananchi. Watu wanaichukulia jero kimasihara sana hawa.
Maphu.mbu yako we jamaaMwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.
Onyeshaa mfano!!Matanzania hata waongeze sukari kg 1 iwe 10000 yanalialia mtandao yakija ishu ya chama tu kwenda yanga yamesahau matanzania yote mambumbumbu
Blaza acha kulalamika sana,soko litaamua lenyewe hata ipande hadi hiyo 5000 hakuna shidaa!!Wangeweka sh 5000 kabisa ili Watanzania watoke usingizini.
Vijana kazi kuvuta shisha tu hata kinachoendelea duniani hawajui.