Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wabongo tuna maisha magumu sana, hii ni sample tu.Malipo yamekamilika 54258576457
9001241831819325017
2.4KWH
3706 2135 9107 0844 7144
Cost 713.94
VAT 18% 128.50
EWURA 1% 7.14
REA 3% 21.42
Debt Collected 2000.00
TOTAL 2,871.00
Una mikwala mingi mingiHiyo siyo bei ya umeme, ni kodi ya jengo.
Kama unaishi nyumba ya kupanga na una mita ya peke yako maana yake unamlipia kodi mwenye nyumba.
Hawa mwisho wao hauko mbali, Mungu amewatia upofu hawataamini ikifika punda anapogoma.
Na siku zote vyanzo vya mapato hua wanapewa mzigo masikini.Duh! Hapo wamebuni chanzo cha mapato.
Umeme wenyewe kama hivi ghafla tu umekatika watu tunaangalia Taarifa za habari baada ya kutoka makazini na kwenyewe hali sio rafiki unasema upumzike kidogo unajikuta gizani hivi ni nani wa kutukomboa na kadhia hii?kiukweli hali sio shwari kabisa Mungu atutie nguvu ila tulipo hapavumiliki kiukweli sema tu ndio hakuna namna unaweza kujikuta unalala kwenye karakana na kuamkia Arusha kisha Ukatalii hifadhini Katavi ila Mungu anawaonaHii nchi ilipofikia inahitaji maandamano kama ya Kenya, ukipandisha hii maana yake kodi ya nyumba nayo imepanda, ilipandishwa na nani?
Nani kala B mwamba!!?😞😞Nimeona leo watu wanaandamana chama kwenda utopolo nimeshangaa jitu linavimbaa kabisa wakati kuna mpuuzi mmoja wilayani kala b kadhaaa wala hatujali mamaaaaaeee
Huwa unakatwa shingapi? Maana meta zinadaiwa kutoka reading meter zilivyowekwa luku kila ukinunuwa umeme wanakata.wakuu mbona mimi wamenikata zaidi inamaana wamenifanya ng'ombe wao wa maziwa. wamenikata elfu 6 serious?View attachment 3030837
Yaan Mimi ilibidi ni note kabisa kiasi Cha pesa kilichosalia bank baada ya siku ya kwanza kuhisi makato ni makubwa sasa Jana ndio naenda kutoa fedha nikagundua 7500 imekatwa kutoa 300,000Hawa Jamaa wanatuibia sana ,leo kuna jamaa alikuwa na emergence akata nimtumie elfu 17 ,nikatoa BANK kwenda kwenye simu yake aiseee wamenikata Buku 2.....Huu wizi sijui kama BOT wanajua.
Lakini ilikopunguza Kuna nafuu zaidi ya hiyo jero.Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?
Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?
Hali hii itaendelea mpaka lini?
View attachment 3030797
Mimi hizo sim banking nilishaachana nazo, kuna siku nililimwa sh 40,000 sitaki tena.Mimi makato ya ATM NMB ndio bado sijayaelewa kabisa, kutoa laki tatu kwenye ATM nakatwa 7500?
SawasawaMbona tumeshajaribu Maandamano mengi tu?.
Hili halina ubishi kabisa.Na siku zote vyanzo vya mapato hua wanapewa mzigo masikini.
Ingekua miezi miwili angeambulia 0Mwezi wa 6 ulinunuwa umeme? Isije kuwa unadaiwa kodi ya miezi miwili.