Nipe namba yake nitampigiaMkuu kufuli imevunjwa na x IGP,unaweza fungua kesi mtoza ushuru alipwe,kama itashindikana tukupe namba ya mahita umueleze kwamba kafanya jambo la hovyo,kutufokea sisi hapa badala umfate mwenyewe ni dalili ya ugonjwa wa moyo.
Pia asinywe pombe.....Depression is real na inamkumba mtu yoyote
Itakuwa stress tu atakaa Sawa I hope
Pia mwembechainsky walushabika kadhaakiboko ya Lipumba hii, kitambo sana
AahaaaaAsizeeke vibaya.
Wakati mwingine, ikiwa mtu anakuwa na bunduki inakuwa ni vema awe anafanya kama Mstaafu Mahita ikiwa kama sehemu ya kutoa tahadhari kwa watu wengine.Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Yule Mzee busara ni 0Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Lete videoBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Ukiikuta gari yake popote basi tunakuomba uipige lock halafu ubaki hapo hapo ili dunia ikusaidie kumtiisha Mahita akija hapo hapo akukute. Halafu uje utupe mrejesho hapa either ukiwa hai ama maiti.Walikuwepo watata zaidi yake enzi za nyuma, lakini leo hii wametulia au dunia imewalazimisha wawe wanyenyekevui.e. Dunia imewatiisha.
Yupo sahihi mzee Majitaka. Vijana washike adabuBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Naongezea sifa nyingine za mahita.Msijisahau kama hamumjui Omary mahita .. huyu ni IGP wa kutisha aliyefanya mission Kali sana na za kutisha wakati wa Rais mkapa huyu kukupoteza ilikua ni sekunde muda wote nimefanya kazi wakati wake katika baadhi ya sehemu ni mtu mwenye msimamo wa hatari sana wengi huku ni vijana wa 2005 hamjui huyu ingieni hata YouTube ..anaishi maisha ya kujihami sababu alitumikia jeshi kama IGP amepambana na wahalifu wengi hivyo kwa namna moja ama nyingine ni lazima aishi maisha hayo halafu kingine kijana huyu mzee huwa asahau anaweza kukufuta siku moja umuueleze kwanini ulifunga gari yake .. Anakuambia "Risasi moja mtu mmoja "
Ni IGP Pekee ambaye asilimia 95% ya safari zake alikua anatumia Ndege ..😁
Sasa wewe jifanye kuonyesha wafanyakazi wenzako sijui unajua maadili ya kazi sijui huogopi .. utapotezwa na boss wako atakukana.
Jifunze ni kuwa na lugha nzuri hao mnaowafungia magari halafu mnawajibu shit ipo siku mtavamia mtumbwi wa vibwengo hautarudi kamwe
Ukiachiwa ulitaka kumteka IGP mstaafu umuue unalakujibu?
Ulizia kilichowapata Pemba enzi zile za mkapa
Hata mm ningekuwa Mahita ningefanya the same,hawa jamaa wa minyororo wanaboa,huwezi elewa kama sio driver.Mkuu, Hilo Ni la Uhakika kama hatabadilika na kukubaliana na matokeo. Ajue na Atambue kwamba Amestaafu i.e. Hayuko Ofisini tena na pia Yeye sio IGP tena bali ni Raia sawa na raia wengine. Huko kumiliki gari na bastola na vitu vingine kama anavyo ajue kwamba hata raia wengine wanavyo vitu hivyo pengine hata kumzidi.
Hivi inakuwaje kwa huyo mwamba - anakwama wapi? haangalii hata Rais mstaafu Mh. J. Kikwete anavyoishi na Jamii ? CDF mtaafu anavyoishi na Jamii???anadhani hivyo vitu (gari na bastola)anavyotamba navyo wao hawana? Mbona wametulia?
Pia anapotezBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.