one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
World it not fair at all...who care...kikubwa kuwa makini na mipakaKwahiyo mimi maisha huku ngara nikija morogoro kikazi naijuia Gari yake siku hiyo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
World it not fair at all...who care...kikubwa kuwa makini na mipakaKwahiyo mimi maisha huku ngara nikija morogoro kikazi naijuia Gari yake siku hiyo hiyo
Halafu mnamkasirika wazungu wanapotuita sisi ni nyani. Mawazo kama haya si yanaonyesha kabisa unafikiria kinyani-nyani?Kwa nchi zetu hizi za kujuana sana.
Kufunga lock gari ya IGP mstaafu ni kujitafutia matatizo tu. Huyo mfunga lock ni mpumbavu pia.
IGP mstafu huwezi kwenda kumshitaki popote ukamshinda.
Kwani lipumba alimfanyaje? Lipumba lilivyo lioga.kiboko ya Lipumba hii, kitambo sana
Mkuu, Hilo Ni la Uhakika kama hatabadilika na kukubaliana na matokeo. Ajue na Atambue kwamba Amestaafu i.e. Hayuko Ofisini tena na pia Yeye sio IGP tena bali ni Raia sawa na raia wengine. Huko kumiliki gari na bastola na vitu vingine kama anavyo ajue kwamba hata raia wengine wanavyo vitu hivyo pengine hata kumzidi.He is mentally sick
Soon atapata tukio la aibu kwa staili hyo
anadhani hivyo vitu (gari na bastola)anavyotamba navyo wao hawana? Mbona wametulia?unarusiwa kujiham ila sheria yavsirah inakataz kua kitisho wa jamii kidgo umeonyesha kidgo umetoa umeona kwa malalamiko tu uyo mshua angekua raia wa kawaid washamnyang'anya ktambo sema tu vle alikua na wadhifa then sheria ya kujiham ipo pia sio uue tu kisa mtu kakutolea panga unakaa jela km kawaid shelia ya kujiham ni kupga juu mweny panga awez skia risas asitupe panga aje akmbie aje akudhur tu na kiwang cha mwish kabs kupga miguu sio kuua na ukimpga nyuma ni kosa yan kuna sheria kal km unavoona trafk wanapma ajal na sirah ivo ivo kuna wachunguz pk waon umetumia sirah kmakosa au laaT
Tujaribu kuwa wakweli mwembechai mtu anakuja na panga au shoka yupo mbio anakuja kukudhuru..wewe una gun..utafanyaje...??
Anaongea mwenyewe sasa hivi huku anatembea,nadhani soon ataanza kuokota makopo.Huku mahita, huku saba sita. hali ya zombe ikoje nayo?
Lipumba ni Kataa Ndoa ujueKwani lipumba alimfanyaje? Lipumba lilivyo lioga.
Kama unayo pesa ya kuchezea sawa.Ningekuwa na Chuma na nikute lock ningefanya kama mahita
Huyu jamaa bado anadhani bado ni IGP.hata wakati yupo madarakani alikuwa na tabia ya hovyo sana na hakupaswa kumilikishwa silaha.hii nchi ya hovyo sana ni kama vile hatuna serikali na wakati jpm alikuwa mpole sana ila sasa wanachezea sana mamaBaada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.
Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!
Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.
Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?
Badilika.
Kama hakuijua mkuu inakuwaje? Japo una point, kwanza kituo utachoenda kushitaki wanaweza kukugeuka umemdharau afande.Kwa nchi zetu hizi za kujuana sana.
Kufunga lock gari ya IGP mstaafu ni kujitafutia matatizo tu. Huyo mfunga lock ni mpumbavu pia.
IGP mstafu huwezi kwenda kumshitaki popote ukamshinda.
Kwani yeye yuko juu ya sheria au!Kusema kweli una lock gari ya IGP mstaafu...Watanzania wenzangu kulala na kuamka salama sio jambo dogo...kuna watu hawalali ili sisi tulale na tuamke vyema...yupo sahihi sana imagine amepiga chuma bila kuathiri tairi la gari mlitazame hili..yupo makini kiasi gani...hongera mahita
Tatizo ni kwa Serikali inaweza kupewa Dokezo kama hili, halafu ikakaa kimya halafu likitokea la kutokea ndo Wanaamka - lakini maji yanakuwa yameshamwagika.mzoee uyo ana laana inamtafuna alimwaga sana dam enzi zake kama unakumbuka tukio la mwembe chai aliqmuru wapigwe sana risas waislam seeikal wamtazame ivo viashriq kua alikua mtu wa aina gan hana busara kashakua mzee asume pind kijana alikuaje katumia sana siraha ya moto na ndiomana hat saiv kidgo anakutolea bastola nafkir ht ndg wamshaul astembee nayo itamletea matatzo km dc mstaaf ditopile aliompga risas dereva wa daladala mwisho wke ukaw mbaya pia
ina ukweli hii mkuu? kama ni kweli, karma ni mbaya sana.Anaongea mwenyewe sasa hivi huku anatembea,nadhani soon ataanza kuokota makopo.
Chiko yeye alishakufa long time
Acha upumbavuKwani yeye yuko juu ya sheria au!
Ni kweli mkuu.ina ukweli hii mkuu? kama ni kweli, karma ni mbaya sana.
Kama sikosei kuna mtu alishasema aliachana na wife wake pia.
Muroto nae ni mstaafu hivi sasa
Ww baki huko huko ngara. Mifano mingeni ya kipuuzi kabisa. Embu soma .. nimetaja watu wa ngara mm hapo. Mshamba nnKwahiyo mimi maisha huku ngara nikija morogoro kikazi naijuia Gari yake siku hiyo hiyo
Inaonekana kijana aliwaaminisha wenzake ngoja kwa niifunge gari ya mahita ... Nyie sini mnamuogopa.😁 Arafu kijana mwenyewe ni huyu huyu muanzisha mada hii..Mahita yupo morogoro wayback sidhani kama hata aliwahi kutoka. Mtu yyte lazma uijue gari ya huyu bwana, else wise ni dharau. Na hiyo ndio kazi ya bastola. It is too risk kufunga gari ya mtu kama huyo, risk kwake na kwako mfungaji.
Mimi tu nakushtua utumbo ukifanya hivo kwenye gari yangu kama na wadhfa wake.
Kila mtu moro anamjua mahita. Huyo nani kalifunga.
Mzee hana stress. Kama kuna wazee wanaenjoy maisha ni mahita. Kafanya kazi yake na anaenjoy muda wake.