Umasikini, elimu ndogo ndiyo tatizo...umasikini unasababisha roho mbaya na chuki juu ya aliyekuzidi hatua, shule nayo ndogo hujui athari za ubaguzi ni basi tu umeweza kununua smartphone....ukiweza kuvuka border hata ya nchi mbili ukakutana na watu wa mataifa tofauti kama una akili ya kujifunza na kuelewa utakuja kujitukana juu ya hii comment yako. Tafuta hela uvuke borderWaswahili tuna ujauaji mwingi sana sishangai kuona akipigwa
Video ya mwezi wa pili hii, huyu jamaa alimkwapua simu huyo dada mwenye koti jeupe, kakimbizwa akakimbilia kwenye maskani ya wabongo wenzake, hatua kadhaa kabla hajafika ndiyo akadakwa na kupewa halali yake, sikiliza kuna mbongo mwenzie hapo hapo anamwambia "kimbia wewe" kama ingekuwa issue ya xenophobia hao wabongo hapo pia wangekuwa matatani, ila walishughulika na kibaka wao tu, acheni upotoshaji.Sasa jitu kama ili ndio liwe kiongozi wenu unategemea Lina msaada gani Zaidi ya uchhoko tu.
wewe unaelewa nini mshamba wa vijijiniOna jinga hii
Una mawazo ya enzi za ujima,Wakimbizi mpigwe tu ,si mnasema hauwezi kufanikiwa ukiwa kwenu..Pambaneni ; kila kitu mnalaumu serikali.
Bibie Isabela Dos Santos, unakemea ubaguzi, ila hii reply yako nayo imejaa maneno ya kibaguzi pia. Ukitulia vizuri utaliona hilo.Umasikini, elimu ndogo ndiyo tatizo...umasikini unasababisha roho mbaya na chuki juu ya aliyekuzidi hatua, shule nayo ndogo hujui athari za ubaguzi ni basi tu umeweza kununua smartphone....ukiweza kuvuka border hata ya nchi mbili ukakutana na watu wa mataifa tofauti kama una akili ya kujifunza na kuelewa utakuja kujitukana juu ya hii comment yako. Tafuta hela uvuke border
Utakuwa lenyewe limehamia Dar kutoka Nachingwea kuja kutafuta maishaUna mawazo ya enzi za ujima,
Kwahiyo watu wote walioenda nchi zingine kutafuta maisha wamekosea?
If you don't succeed where you are, move,
You are not a tree.
We phala kweli! Mimi nawewe ,wewe ndio boya mmoja tu! ni vile hatujuani tu.wewe unaelewa nini mshamba wa vijijini
Kwanza hio video ya miaka mitatu iliyopita na ilikuwa CapeTown
Mizwazwa kama nyinyi mnachotwa tu
Kabisa ukanda huo umeoza aiseee ni kazeze ni kazeze ni kazeze.Yanaringa na linchi lao wakati ndo wanaongoza kwa kutafuna njugu, mbaazi na minjingu
Upo sahihi lakini mwisho wa siku watapoteza hizo investmentsUnaondoka vipi umeshainvest kiasi kikubwa cha pesa?
Wapambane sasa tuone ...Acheni kusumbia watu kwa shobo zao ,hilo suala unafikiria limeanza leoWao ni wapambanaji tu kutafuta life mbona wewe uluhama kijijini kwenu ukakimbilia sehemu tofauti incase ikitokea tatizo lazima uombe backup home
Huoni kosa ,mkimbizi ni mkimbizi ; hauwezi kutafuta haki kwenye nchi za watu.Una mawazo ya enzi za ujima,
Kwahiyo watu wote walioenda nchi zingine kutafuta maisha wamekosea?
If you don't succeed where you are, move,
You are not a tree.
Hata hueleweki unatetea kitu gani na unaponda kitu gani! Una maanisha nini kuwaita wakimbizi hao walioenda kutafuta maisha? Unajua ni vigezo gani vinahitajika ili kumuita mtu mkimbizi?Huoni kosa ,mkimbizi ni mkimbizi ; hauwezi kutafuta haki kwenye nchi za watu.
Unajua matatizo ya watanzania ? Acha wapigwe mbona hapa mnawasema wachina kwa unafiki hamjambo.
Shida ni uongozi mbovu wa ANC uliojaa watu weusi. Wameondoa watu weupe kwenye uongozi na sasa wanaendesha nchi kihuni.Siyo ujuaji,Wazansi wanataka raia wote wa kigeni warudi kwenye nchi zao,madai yao wageni wameivamia nchi yao na kufanya biashara kiholela holela. Wanataka kuitengeneza nchi yao na wageni wakazitengeneze nchi zao.
Wazansi wapo sahihi,kabla ya 1997 nchi yao ilikuwa ya kujivunia,baada ya kuanza kuingia wageni biashara haramu zikatamalaki,uharifu ukakua kiwango cha kutisha sana.
Mbona maccm yanauwa tena Mtanzania mwenzao,kwani huu sio ubaguziInasikitisha sana kuona,
Muafrika anambagua muafrika mwenzake ndani ya ardhi ya Africa!
Kuna sehemu nimetetea ubaguzi wa aina yeyote hapa? Au umekurupuka tu kutoka usingizini?Mbona maccm yanauwa tena Mtanzania mwenzao,kwani huu sio ubaguzi
Ninashangaa unapoona watu wema wa afrika kusini unaona watu wabaguzi wakati hapahapa Tanzagiza kunakikundi fulani kinachoitwa chama dola,kinaamua nani aendelee kuishi na nani asiishi,je huu nao sio ubaguzi??,tusiwe wajinga na wanafiki sisi ngozi nyeusi tukawa tunawanyooshea mikono wenzetu,wakati hapa tanzagiza kunakikundi cha utawala na mamluki wanakitu kinaitwa hakiphobiaKuna sehemu nimetetea ubaguzi wa aina yeyote hapa? Au umekurupuka tu kutoka usingizini?