Lazima muipongeze sana corona maana bila hiyo kitu msingepewa hizo fedha.Mnachagua picha kujaribu kuhalalisha mawazo yenu duni. Kuna maelfu ya shule shikizi zinazojengwa muda huu, tafuta picha zake uziweke humu pia.
Jibu hoja za watu ndugu [emoji1787]Bahati mbaya sina picha mkuu maana chanzo cha hii habari hawakutoa picha hii.
Mkuu, ndege haziwezi kuleta hizo pesa na maendeleo unayoyafikiria .... Sana sana pesa nyingi zaidi zitaishia huko. Watalii hawaji nchini siyo kwa sababu ya ndege .... Ukiona BA hairuki kuja Tanzania ujue kuwa hakuna abilia wa kutosha kutoka UK kuja kwetu. Fast Jet alikuwa anasafirisha watu kwa bei nafuu zaidi .... sasa kuwaondoa wao na kuleta ndege za ATCL kunasaidia nini? Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kuboresha pale ambampo palikuwa na tatizo.Hakuna nchi iliyomaliza shida za wananchi wake wote kisha ndio ikawekeza kwenye vitega uchumi,ukisema usubiri matatizo yote yaishe ndio uwekeze kwenye Ndege basi sahau kununua hizo Ndege,
Ila hizo Ndege zikisimamiwa vizuri ndizo zitakazo leta faida ya kununua hayo madawati na mahitaji mengine,
Angalizo.Mimi sio shabiki wa vyama vya Siasa,usije ukaniita tu sijui buku 7 au bavicha au vyovyote vile.
Endelea na akili za fisi, ndege zinaongeza mzunguko wa pesa wa hazina.Huko watanipeleka makumbusho tu kuziangalia zilivyo paki pale na zingine zinashindana na kina Nyahunge tu
Kama ilivyokuwa TANU, wakati inapewa nchi hiihii.Ni kama sisi kila siku tunaaminishwa kuwa mwenyekiti wetu ni tajiri, ila cha kushangaza makao makuu yetu hayana tofauti na banda la kuku.
Sasa tukipewa nchi sijui ni kipi cha maana tutachofanya kwa nchi hii.
View attachment 2168606
Mbona madarasa mengi tu mapya yanajengwa?! Au picha hii inapendeza kwa ajenda yako maalum!
Mnachagua picha kujaribu kuhalalisha mawazo yenu duni. Kuna maelfu ya shule shikizi zinazojengwa muda huu, tafuta picha zake uziweke humu pia.
Unadhani CAG yeye hapokei?Huko inabdi CAG atupie macho sana huko
Usemayo ni sawa, ila usidharau umuhimu wa movements za watu wanaotumia ndege kwa uchumi wa nchi. Pia kuna tertiary businesses nyingine zinakuwa na biashara ya ndege, nyingi tu.Mkuu, ndege haziwezi kuleta hizo pesa na maendeleo unayoyafikiria .... Sana sana pesa nyingi zaidi zitaishia huko. Watalii hawaji nchini siyo kwa sababu ya ndege .... Ukiona BA hairuki kuja Tanzania ujue kuwa hakuna abilia wa kutosha kutoka UK kuja kwetu. Fast Jet alikuwa anasafirisha watu kwa bei nafuu zaidi .... sasa kuwaondoa wao na kuleta ndege za ATCL kunasaidia nini? Kilichokuwa kinatakiwa kufanyika ni kuboresha pale ambampo palikuwa na tatizo.
Sehemu ambayo serikali ilitakiwa imwage pesa za kutosha ni kwenye kilimo na migodi.Hizo pesa zingeelekezwa huko mpaka sasa zingekuwa zimesharudi zaidi ya mara tatu au tano kabisa. Imagine kama 1 Trillion ingewekezwa Liganga na Mchuchuma .... au 200 billion kwenye kilimo cha alizeti na Mawese .....!!
Mkuu, sina tatizo na uimarishwaji wa usafiri wa ndege. Comment yangu ilikuwa ni kwamba serikali kuingilia na kuiua Fast Jet haikuboresha kwenye hii sector probably waliirudisha nyuma kidogo kwa kutaka monopoly ya serikali kwenye hii sector. Kulikuwa hakuna sababu ya kuiuwa sector binafsi ili ATCL ianzishwe.Usemayo ni sawa, ila usidharau umuhimu wa movements za watu wanaotumia ndege kwa uchumi wa nchi. Pia kuna tertiary businesses nyingine zinakuwa na biashara ya ndege, nyingi tu.
Ni sawa barabara ya lami ikijengwa, kuna mengi yataibuliwa na hiyo barabara yenye manufaa kwa watu wa hapo.
Kwa hili la ndege, ungefanya utafiti wa sample ya ndogo tu pale Airport kujua wale abiria wamefaidikaje kwenye shughuli zao, ungepata picha.. Strong aviation industry ni muhimu sana.
Mkoa wa Sumbawanga ndio mkoa gani?Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo?
Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani?
Wanafunzi 65,000 mkoani Sumbawanga wanakaa chini.
CCM tunaomba mjitafakari vinginevyo mtuwachie nchi yetu tuliowachiwa ma Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
Watanzania hatutokaa tusahau aliyo yafanya Jiwe kisa kuogopa ushindani.Mkuu, sina tatizo na uimarishwaji wa usafiri wa ndege. Comment yangu ilikuwa ni kwamba serikali kuingilia na kuiua Fast Jet haikuboresha kwenye hii sector probably waliirudisha nyuma kidogo kwa kutaka monopoly ya serikali kwenye hii sector. Kulikuwa hakuna sababu ya kuiuwa sector binafsi ili ATCL ianzishwe.
Twambie tangu mwaka 2016 hadi leo hii zimesaidia wapi kuongeza mzunguko wa fedha hapa nchini.Endelea na akili za fisi, ndege zinaongeza mzunguko wa pesa wa hazina.
Poleni SanaInaumiza,walimu tunatapakaa vumbi
...
Asante cutePoleni Sana