#COVID19 Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

Yani hata ng'ombe anayepelekwa machinjioni anakuwa na machale fulani kuliko hao watu wanaopelekwapelekwa hivyo.
 
Yani hata ng'ombe anayepelekwa machinjioni anakuwa na machale fulani kuliko hao watu wanaopelekwapelekwa hivyo.
Kuna muda unaagalia mtu ana post kitu, anaongea kitu, unaona hata ng'ombe ana nafuu kwani kuna siku ataliwa. Ni Tanzania pekee kiongozi anaweza ongea utumbo, halafu raia ambao utumbo huo uta wa affect wanaogopa kumuuliza, hata wao kujiuliza pia ni shida.
 
Dah...hii chanjo ya covid 19 nasikia inaongeza amsha amsha.....tutarajie population kuongezeka mara dufu miaka ya karibuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Very few people die of covid 19! But many people die with covid!! Anyone who dies within 28 days after testing positive to covid 19, is recorded as being a victim of corona even if he has died of other causes like malaria!!
 
Acheni mizaa tatizo hili si lakubeza, usiangamizwe kwa kukosa maarifa.
 
Ndio maaana tunataka katiba mpya , itakayomwajibisha yeyote yule atakae chezea pesa za Umma awe Rais awe nani, akichezea kodi tu mahakamni.
Katiba mpya ni lazima. Kwa ustawi wetu sote kama Taifa.
Katiba aisaidii. Kenya walikuwa na matatizo kama hayo. Na katiba yao mpya. SA ni mbaya zaidi. NI WATU NDIYO WENYE MATATIZO. JPM aliweza sana. Tuna mdhihaki bureeee
 
Katiba aisaidii. Kenya walikuwa na matatizo kama hayo. Na katiba yao mpya. SA ni mbaya zaidi. NI WATU NDIYO WENYE MATATIZO. JPM aliweza sana. Tuna mdhihaki bureeee
Katiba mpya ni lazima, Katiba madhubuti,
Hizo katiba za maridhiano hata Zanzibar wanayo haiwasaidii.
 
Hao wanaokufa walikuwa hawajajifunga barakoa?
BARAKOA HUWEZI KUIVAA MUDA WOTE, LAZIMA TU KUNA MUDA UTAJISAHAU NA BAHATI MBAYA KWENYE FAMILIA LAZIMA UTAKUTANA NA WATOTO AMBAO WALA HAWANA HABARI NA BARAKOA. JAMBO LA MUHIMU NI KUMUOMBA ZAIDI MUNGU ATUEPUSHIE HILI JANGA LAKINI SIO KUKATAA ETI HALIPO.
KUNA MIKOA NASIKIA HAINA WALA HAWAJUI TENA NAMBO YA CORONA ILA KILIMANJARO HASWA KILEMA IMESUMBUA SANA.
 
Corona ipo na inaua kwelikweli Tanzania nawashauri mjiangalie, hao England majority wameshapiga chanjo usiwaige utakufa
 
Mkuu Kiraka

Ingekuwa heshima kubwa unavyotetea ucovid watu kupata chanjo

Ungetetea hvyo hvyo watu wanaokufa kwa cancer na magojwa mengine

Kwanin magojwa mengine hawaleti chanjo?
 
34M vaccinated and 36M not vaccinated


Kuwa vaccinated sio kigezo, mbona wameambiwa wote hukuna mambo ya barakoa

Mambo ya barakoa ya kipuuzi tu
80% ya watu wenye umri zaidi ya miaka 16 nchini Uingereza wameisha chanja kikamilifu- dose zote mbili. Wenzetu wapo mbali sana. Hatuwezi tukajilinganisha nao. Kuvaa barakoa si lazima na si kuwatisha watu. Barakoa ni silaha mojawapo ya bei rahisi kabisa katika kupambana na UVIKO-19.
 
Mambo mengine hayahitaji mjadala nenda hosptali kaulize au pitia ward za wagonjwa utapata jibu
 
Hata ukimaliza kuchanja watu wote, haisaidii kitu. Aliyechanjwa anaambukizwa na asiyechanjwa anaambukizwa ! Hakuna tofauti!
 
Kwa ccm yote yanawekana, labda wanapiga dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…