Kusimamia kwenye upande upi? Ujenzi upande wa kiufundi/technical kwenye wilaya/halimashauri unasimamiwa na engineer wa wilaya/halimashauri. Labda unazungumzia usimamizi administratively na wala siyo technically!Wewe ndiyo muongo.
Walimu wanawekwa ndani kwa kutosimamia ujenzi wa madarasa.
Pengine unayosema ni huko Chato.
We jamaa huo sio mwandiko ni maandishi, insha au uandishi.Mwandiko sasa!
Pengine hujaelewa mantiki ya mada hii.Kusimamia kwenye upande upi? Ujenzi upande wa kiufundi/technical kwenye wilaya/halimashauri unasimamiwa na engineer wa wilaya/halimashauri. Labda unazungumzia usimamizi administratively na wala siyo technically!
Kwani hamjui fundi Maiko?False account na ubora wa hilo jengo binafsi unahusiana vipi?
Pengine hujaelewa mantiki ya mada hii.
Wahandisi wapo, tena tele.
Lakini local fundi, fundi Maiko kwa serikali ndiyo habari ya mujini kwao.
Kama wewe uko ofisini nenda kijijini uone ujenzi wa Mahanadi na shule unavyolipuliwa.
siku Dar likipiga tetemeko dogo kiasi itakuwa aibu, tunaweza kuzika sana na mji kubakia jangwa....
Usituchanganyie mafaili bwana mkubwa. Nani alikuambia ujenzi wa force account unatumia mafundi wasio na viwango?View attachment 2035455
Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maik
Wanasiasa wengi ni wezi kupita kiasi.Wahandisi wengi ni wezi kupita kiasi.
Mtoto anaiga baba na swaga zake.Usituchanganyie mafaili bwana mkubwa. Nani alikuambia ujenzi wa force account unatumia mafundi wasio na viwango?
Kwani ghorofa lililoanguka ni mradi wa serikali? tena ambao ulikuwa unatekelezwa kwa mtindo wa force account?.
Kwa mwonekano hilo jengo la mtu binafsi, aliyekiuka taratibu za ujenzi, pengine kwa kuweka mafundi uchwara.
πππππMwandiko sasa!
Yaani foreman akisaidiwa na injinia mkuu uko serious kweli? Yaani una maanisha injinia amsaidie kazi foreman? Acha dharau asee!!Na kipindi unajenga ni muhimu mjengo wako kusimamiwa na Wote Fundi mkuu (foreman) akisaidiwa na Mhandisi katika kutafsiri michoro.
Kwani ujenzi kwa kutumia force account ndiyo unakupa uhuru wa kuwa usitumie qualified local engineers?Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.
Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Qualified local engineer ni ngumu kutumika katika ujenzi wa mtaani kwasababu Client wengi hutaka gharama ndogo ambazo haiwezekani kutumia engineerKwani ujenzi kwa kutumia force account ndiyo unakupa uhuru wa kuwa usitumie qualified local engineers?
Yasije kuwa kama ya yule mkuu wa mkoa wa Shinyanga aliyesema hataki kusikia habari ya procurement procedures.
Serikali yenyewe ina wapiga vita wahandisi na makandarasi katika harakati zake za ujenzi, eti wana gharama kubwa.Kwani ujenzi kwa kutumia force account ndiyo unakupa uhuru wa kuwa usitumie qualified local engineers?
Yasije kuwa kama ya yule mkuu wa mkoa wa Shinyanga aliyesema hataki kusikia habari ya procurement procedures.
Wataalum wamepuuzwa sana nchi hii.Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.
Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.
Mainjinia wameamua kujiajiri shambNi kwani mwajiri mkubwa wa ujenzi alikuwa serikali...na huyu mwajiri alimchagua fundi maikoKwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba lilititia na kuanguka kama mbuyu uliojaa maji.
Wanasiasa watajipiga jaramba huku wakiwalaumu wengine. Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa ni mmoja wa watu wamepigia sana upatu kujenga kwa Force Account na fundi Maiko. Serikali inavuna ilichopandikiza kwa wananchi wake.