mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Upo sahihi, kuna upendeleo fulani.Mkuu acha uvivu....pitia hayo matokeo uone uovu wa serikali yako. Wanafunzi waliopata B wa shule za kata wameenda shule teule huku wanafunzi waliopata A wa shule binafsi wamepelekwa sjule ya kata Changanyikeni. Huu ni ujinga usiovumilika. Acha kutetea uhuni na upuuzi wa serikali ya CCM.
Nilitaka tu kumueleza huypo aliyesema nanukuu...Kwa hiyo una uhakika kuwa wanafunzi wa St Kayumba ndio wamepata A kali zaidi au unataka kutetea nini mkuu?
Mbona hatujawahi kuona wanafunzi wa vigogo wanachaguliwa kwenda shule za kata au wao wanafaulu sana? Acha kutetea upumbavu mkuu. Watu kama nyie ndio mnasababisha serikali ya CCM igome kuboresha mazingira ya shule za kata badala yake inawabeba wanafunzi vilaza na kuwasombea sekondari kwa kigezo cha mazingira magumu halafu inaumbuka baadaye.Watoto wenu mlitaka wachaguliwe shule gani zaidi ya kata?mtoto kapata A ya 92 unataka apelekwe shule ambayo inachukua A ya 98_100?
Hii hali inahuzunisha na kusikitisha sana. ikiwa tutaendelea kukaa kimya ipo siku bomu la elimu litalipuka ktk nchi hii ya kusadikika. Hili sio jambo la kupuuza hata kidogo. Wananchi tuamke. Tunakanyagwa sana na hii serikali ya mchongo aisee.View attachment 2848422
View attachment 2848424
View attachment 2848425
HAYA NI MATOKEO YA WALIOSOMA PHILADELPHIA PRIMARY SCHOOL.
NA ALMOST WOTE WAMEJAZWA MWANDEGE CHECK HAPA CHINI..!!
View attachment 2848428
View attachment 2848429
View attachment 2848430
Wapuuzi Sana WaleWakuu wa shule si ndio hao wamepitisha mchango wa kuchukulia form Mheshimiwa agombee Tena 2025?
Na hali itazidi kua mbaya..kama waalimu wakuu na wasimamizi wa shule ndio wale tunawaona wanachangisha fedha kwa ajili ya ku support chama fulani unadhani atayasemea nani mambo kama haya?Kuna mdau aliandika humu, hakuna kitu hata kimoja ambacho serikali inafanya kwa ufasaha na usahihi. Ni kuunga unga tu mradi pakuche
Mazingira ya kujifunzia kwa maana ya walimu, vitabu n.kKivipi. Kwani hao wanafunzi si wanatoka kata moja? Acha kuetetea ujinga mkuu.
range ya marks grade A na B zipojeNilitaka tu kumueleza huypo aliyesema nanukuu...
View attachment 2848435
Kwamba hakuna cha huwezi jua, vitu vyote vinajulikana..!!
Nimeshangaa sana Mkuu...tumepitia changamoto nyingi kama Taifa...ila kwa hili walilofanya hawa wakuu ni la hovyo sana siju wana akili gani? Njaa mbaya sana.Wakuu wa shule si ndio hao wamepitisha mchango wa kuchukulia form Mheshimiwa agombee Tena 2025?
Nimeshangaa sana Mkuu...tumepitia changamoto nyingi kama Taifa...ila kwa hili walilofanya hawa wakuu ni la hovyo sana siju wana akili gani? Njaa mbaya sana.
Mwandege-MkurangaWenye A karibu wote wa PHILADELPHIA PRIMARY SCHOOL iliyopo Kongowe ya Mbagala Dar, wamepelekwa Mwandege kutwa..!!
Una lipi la kusema kwa mwanafunzi anayekaa boarding mbali au nje ya mkoa ambako ndo nyumbani kwake?Mazingira ya mwanafunzi pia yanazingatiwa.
Ni sahihi kabisa. St Kayumba nao wanastahili kusoma pazuri. Ingekuwa mimi shule za private wote ndo wangeenda kutwa.Hivi umekielewa kilichoandikwa au umedandia tu..!!??
Nakutolea mfano, Philaldephia primary school ilipo Kongowe ya Mbagala ni PRIVATE, lakini wanafunzi wake karibu wote wenye wastani wa A, wamepelekwa Mwandege kutwa ya serikali..!!
Unazidi kuonyesha ni kwa kiasi gani huelewi. Wanafunzi wa Philadelphia Primary ni wa private, siyo Kayumba na wote wamejazwa Mwandege kutwa..!!Ni sahihi kabisa. St Kayumba nao wanastahili kusoma pazuri. Ingekuwa mimi shule za private wote ndo wangeenda kutwa.