blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Mkuu hii hoja mimi nilisha ileta hapa... Ila nilishambuliwa sana.
www.jamiiforums.com
Hapa libase kwa CSEE.FORM FOUR.
Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?
Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...