Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

Mkuu hii hoja mimi nilisha ileta hapa... Ila nilishambuliwa sana.
Hapa libase kwa CSEE.FORM FOUR.
 
Mfumo wa elimu wa Tanzania ni outdated na elimu inayotolewa na mfumo huo ni ya dark ages ndo maana nchi haiendi mbele.Hakuna shule ya serikali inayotoa elimu bora bila kujali ikoje na ipo wapi,hata malalamiko yako nayaona hayana msingi kwa sababu anaesoma kata au hiyo spesho wote wapo chini ya mfumo uleule uliofeli. Shule za kata, bweni, teule, spesho kote ni full ujinga uleule,we unapelekeshwa na majina ya shule.
 
Mkuu hesabu gani, uzijue wewe tu? tuambie kweupe hapa tuzijue sote!
 
Huwezi kulinganisha ufaulu wa Kagera na Mtwara au Lindi na Mbeya au Katavi na Kilimanjaro.
Huwezi kuweka mizani sawa hata siku moja. Kata ya Umasaini iwe sawa na kata ya Dsm! Nooo!!

Mimi si mmoja wao. Ni fikra zangu zinanifikirisha hivyo
 
Watoto wenu mlitaka wachaguliwe shule gani zaidi ya kata?mtoto kapata A ya 92 unataka apelekwe shule ambayo inachukua A ya 98_100?
Mkuu kama kigezo ni aliyepata 98 na kuendelea ndiye anaenda shule teule iweje aliyepata B aqualify wakati mtihani ni mmoja?
 
Ulitaka wajazwe wapi?
Hivi unajua Nyerere aliwezaje kuondoa ukabila..!!??

Cha kwanza, kila shule ya serikali ilikuwa na wanafunzi wa mikoa yote ya Tanzania. Yaani ukiingia darasani unakutana na almost makabila yote..!!! Unapomtoa mtu Philadelphia na kumpeleka Mwandege , hiyo ni zero grazing..!!
 
Ndugu Tpaul inaonekana una uraibu wa kamari.
 
Serikali inajua kabisa gap lililopo kwenye jamii kati ya wenye nacho na wasio nacho hivyo ikienda na hizi akili zenu za kishenzi watoto wa walalahoi watazaidi kuwa walalahoi. Angalau hao wanaojitahidi wakipelekwa shule nzuri sekondari itasaidia. Na wengi wao wakitoka Kayumba kwenda shule teule huwa breki ni University. Nyie mliojaliwa kipato pelekeni watoto sekondari za private mkuze uchumi. Tatizo wengi wenu pia mna hela za papatu papatu ndo maana mnataka ahueni mtoto aende shule nzuri za serikali. Hii SERIKALI YA CCM iko makini na wajinga wajinga kama wewe.
 
Upo sahihi, kuna upendeleo fulani.

Ila labda watakua na vigezo fulani mkuu, private na kayumba wanatofautiana
Mkuu wana tofautiana kivipi? wakati wote wanatumia kusoma kwa sera ya elimu moja, mtaala mmoja, walimu waliotoka vyuo sawa, baraza la mtihani moja, mtihani mmoja, wasimamizi ni walimu na maaskari wa serikali na wasahihishaji wa serikali?
 
Ninamfaham Mwanafunz aliyepata A masomo yote shule ya serikali na kapangwa shule ya kata
 
Sio kwamba waliopata A wote wanaenda shule za bweni, wewe una uhakika gan kama A zao zilikua Kali zaid, kinachowapeleka shule Nzuri ni marks walizopata,
 
Mkuu wana tofautiana kivipi? wakati wote wanatumia kusoma kwa sera ya elimu moja, mtaala mmoja, walimu waliotoka vyuo sawa, baraza la mtihani moja, mtihani mmoja wasimamizi walimu na maaskari wa serikali na wasahihishaji wa serikali?
Basi kuna tatizo mahali...
 
Hapana mkuu sio kweli!
 
Yaani unawasaidia vilaza kwa kwafelisha wenye akili..!!! Ujinga ulioje..!!! Humsaidii masikini kwa kumshusha tajiri
 
Ninamfaham Mwanafunz aliyepata A masomo yote shule ya serikali na kapangwa shule ya kata
Kwa hiyo unataka kusema nini kuhusu selection inayofanywa na serikali ya CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…