Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
- Thread starter
- #81
Hawa ni nursery sasaPrimary watatokaje saa 10:30
Primary wanatakiwa saa 7 wameshaondoka shuleni
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni nursery sasaPrimary watatokaje saa 10:30
Primary wanatakiwa saa 7 wameshaondoka shuleni
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tutafute hela kwa wingi watoto wasiteseke....Hawa ni nursery sasa
Tafuta shule ambayo ni karibu na unapo ishi ili mtoto apate muda wa kulala na kumaliza usingizi hii ndo suluhishoNimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana.
Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora angalau hata mwakani aanze la kwanza.
Aisee sasa hivi ndio nimekaa nyumbani, yapata muda kidogo wife alinambia siku hizi dogo hapendi shule, nikamwambia labda hajapata marafiki hiyo shule mpya!
Sasa hawa watoto wa nursery wanaamka saa 11:30 saa 12 gari lipo getini, kutoka shule saa 12, homework kibao, mtoto muda wote namuona kachoka.
Leo kaamshwa kwenda shule mtoto analia tu, yaani hawa watoto wana ratiba ngumu kuliko hata watumishi, hivi kweli nursery mkiwaachia saa 7 kuna tatizo gani? Wanacheza na kurelax saa ngapi hawa watoto?
Leo naenda kukiwasha shuleni, mwanangu mwisho saa 8 atakua anakuja kuchukuliwa anapelekwa nyumbani, kama hawataki poa tu nitatafuta shule nyingine, uzuri private zipo kama utitiri.
Serikali wekeni miongozo ya elimu, hwa watoto wana ratiba ngumu hata physiological sidhani kama wanafurahia shule kama miaka yetu ile.
Elimu yenyewe hii ya kuja kukutana na mishahara ya laki 4 ukitoka chuo, upuuzi tu!
Mwelevu kwanini umpeleke shule ya ambali ambayo tena wakati unampeleka mtoto wako na taratibu uliambiwa?
Hili nimeliona, nimeenda kuongea nae wananisusia eti utajua mwenyewe, nafanya utaratibu wa usafiri awe anaenda saa 2 saa 8 anatoka
Wengine tunatafuta kipato mbali kidogo na familia zetu hivyo tukipata hata muda wa kupumzika wiki 2 ndo mambo kama haya tunayaona
Sasa wewe unataka mtoto asiende shule akae nyumbani au unatakaje mkuu?Ila hapo mzazi ndo wakulaumiwa, shule hazina tatizo, wanaopeleka watoto ndo wana tatizo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna mzazi mmoja aliniambia bora wachapwe ili wafaulu, nilimuangalia nikamuona huyu jajieleweWazazi wengi ni wapumbavu, hawawapendi watoto wao
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaani la nne na la saba wanaanza saa 12 mpaka saa 2 usiku. Serikali inatakiwa itoe waraka ili shule zote zifuate. Tulikua private sababu wana walimu wa kutosha wangeruhusu watoto mapema kumbe sio.Tutafute hela kwa wingi watoto wasiteseke....
Darasa la 4&7 wanaumizwa sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
80% ya mashoga original Yao shule za private.fanya utafitiMlete dumu fagio aje awe anabishana Kuhusu Simba na Yanga
Kiufupi shule za private zipo vizuri katika kuamua destiny ya mtoto huko baadae Mimi shule za serikali nazichukia sipendi mtoto wangu asome huko dumu fagio ni uchafu Sana .
Mwanangu sijampeleka hapoSasa wewe watakiwa uende shuleni kulalamika, au huyo anayejifanya anachapa sana umchape na yeye
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna wakati niliwahi mpeleka mwanangu.Mlete dumu fagio aje awe anabishana Kuhusu Simba na Yanga
Kiufupi shule za private zipo vizuri katika kuamua destiny ya mtoto huko baadae Mimi shule za serikali nazichukia sipendi mtoto wangu asome huko dumu fagio ni uchafu Sana .
Mi mtoto nishamwambia akipigwa akija nampiga, akiibiwa kitu sitamnunulia.Kuna wakati niliwahi mpeleka mwanangu.
Kila siku wanamwibia masaftari, kalamu, chupa ya maji na hata begi. haipiti wiki na ngeu mpya
Haipiti wiki ana UTI.
Mbaya zaidi teachers theydont care