Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

Hizo ambazo haujazisikia ndo zimefanya vbaya.. haumjui papà fransis ila shule zake una Zishobokea
Hapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?
 
Walipewa hadi majengo ya serikali waanzishe chuo kikuu ila nduo chuo kinachotoa vilaza zaidi duniani ukiacha maawal sekondari 😀😀😀
Sasa unadhani chuo gani na hao wasomi wanafanya Nini hizo elimu wanafanya Nini hazina faida ndugu wenye mafanikio ambao hawajaenda shule
 
Hapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?
Nipo juu kwenye ndege Emirates ya Dubai inamilikiwa na director Ahmed bin qalib mbwa wewe.. nakunywa maziwa ya ng’ombe kwenye kikombe cha made in Tanzania ya raisi wa dini yangu.. nimevaa kobaz from taliban natumia Sony ya yusuph malik chawa wewe
 
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI ili kila mtoto awe na usawa kwenye kufaulu ama serikali iache kila dini ijiamulie ama ELIMU DUNIA ama ELIMU AKHERA?
Suluhisho ni serikali kuboresha shule zake.

Unakuta shule ya msingi ya serikali, kuanzia mwalimu mkuu hadi wengine wote hawana sifa za kuajiriwa shule binafsi aù za dini maana waliishia form 4 na wakapata division 4, unatarajia nini hapo?

Halafu hizo shule chovu ndo huzalisha wanafunzi wanaojiunga na Sekondari chovu za Kata ambazo pia hazina walimu wa kutosha wala vifaa muhimu vya kufundishia.

Serikali ikubali kujifunza kutoka sekta binafsi jinsi ya kuendesha mashule kwa ufanisi
 
Unajua maana ya seminary?
Kutoka Wikipedia:

A seminary, school of theology, theological college, or divinity school is an educational institution for educating students (sometimes called seminarians) in scripture and theology, generally to prepare them for ordination to serve as clergy, in academics, or mostly in Christian ministry.

The English word is taken from Latin: seminarium, translated as 'seed-bed', an image taken from the Council of Trent document Cum adolescentium aetas, 'Since the age of adolescence' which called for the first modern seminaries.
 
Hapo ulipo ukijikagua vizuri utagundua karibu kila unachotumia ni product ya kafir, kuanzia mavazi uliyovaa hadi vifaa vya electronic. Je, hizo sio shobo?
Kama ukafikiri wao ndo uliwezesha kugundua hizo product nyinyi makafiri weusi mna product gani mlio igundua kutokana na ukafiri wenu?
 
Hizo shule zina mchanganyiko wa dini zote lakin. Na kingine hawafundish academically tu. Ni pamoja display uwajibikaji, utegemez nk nk. Kule unayaish maisha halis
 
Kati ya hiyo Dini na Serikali nani ana shule nyingi.
Kutaifisha shule,ni mawazo ya maiti zinazotembea tz.
Serikali kuiga mfumo wa uendeshaji kutoka kwa mdau huyo,hiyo inaitwa Maiti kuanza kupiga chafya Monchwali.
Kuwa na mitaala isiyoyumbishwa na wanasiasa na Serikali kuweka vipaumbele vya elimu na Elimu kuwa chombo kikuu Cha kisichobadirika mara Kwa mara na kuendana na Ulimwengu wa sasa hii kitaalam inaitwa Maiti kufufuka kutoka katika kiza Kisichojulikana mwisho wake ni upi.
N.B Serikali iache kufungamana na shughuli za vyama kisiasa Bali vyama vya siasa view na mipaka katika maswala ya Nchi.

Utumishi wa chama uwe mbali na Utumishi wa Serikali.

Kwa sababu,unachaguliwa na watu milioni 5 ila unaenda kuongoza watu milioni 50+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…