PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali gani!? Waruhusu kama nani!? Unawaza kizamani!
 
Hizi hasira hata sisi wenye biashara zetu tunazo sana sio nyinyi vibaka tu.. na kwa taarifa yako safari mkiiba tena na kuvunja vitu vyetu itakuwa mara mbili ya October 29...
Sikiliza ndugu, hizo mali mlizoiba kwa ufisadi mwisho wake ndio huo....

Zitateketea na wewe pamoja na watoto wako na washirika wako kibiadhara, tutawafikia mpende msipende...

Si unasema mtaua mara mbili ya mlivyoua 29/10...?

Na sisi tunasema hivi, kwa ufyatu wako huu, tutawafikia na kuwakamata wote mpaka yule shetani wenu mkuu aliyekalia kiti cha ikulu ya nchi yetu...!

Hebu jaribu kufikiri hili kama kweli una akili timamu za kufikiri:

Kwamba kila mji watoke watu kwa ratio ya kati ya 5,000 hadi 100,000 kulingana na ukubwa wa mji waandamane kuelekea kwenye ofisi za umma ...

Inasemekana, ktk maandamano ya tarehe 29/10 na kuendelea mliua watu wanaokisiwa kuwa kati ya 3,000 na 7,000

Kama unadai mtaua mara mbili, basi maana yake mtatuua 14,000..

Sawa. Tunakubali mtuue 14,000. Lakini kumbuka zaidi ya watu 2,000,000 wataandamana nchini kote. Ukiua 14,000 kisha hawa 1.986,000 watasonga mbele na kuwafikia....

Unadhani nini kitatokea? Mna polisi wa kulinda na kuzuia uharibifu kama tukiamua kuharibu mali zetu? Mnaweza kutuzuia kama tukiamua kuwafuata kwenye nyumba zenu washenzi nyie? Tuna vita na CCM na tunajua kila nyumba ya mwana CCM, mali zake na watoto wenu. Mtaweza kuokoka na ghadhabu na hukumu iliyo mbele yenu..???

JIBU NI RAHISI SANA: Kwamba, watawafikia hayawani wote wa CCM na kuwapa wanachostahili. Wataifikia ikulu yao na kuikomboa na watawanyang'anya kila mlichonacho na mtaachwa matako matupu...

Fikiri vizuri kabla ya kufyatuka!!

Sikiliza na tazama hii👇🏻👇🏻. Barua toka juu mbinguni ya kuruhusu wananchi kuingia ikulu na kuchukua ofisi yao, imeshasainiwa. Mama yenu atatoka apende asipende na atakuwa chakula cha kunguru na mwewe barabarani

View: https://youtu.be/DvchOQzG8Gg?si=a53fHW8jyVM2iqNt
 
Kama panyarodi wakipita huwa mnawakimbia mtaweza Gen z nchi nzima kazi mnayo nyie masikini mnaojiita wafanyabiashara za viduka uchwara
Kama panyarodi wakipita huwa mnawakimbia mtaweza Gen z nchi nzima kazi mnayo nyie masikini mnaojiita wafanyabiashara za viduka uchwara
Hatimae dawa imeanza kuwaingia
 
Somo limeanza kueleweka. Mpaka sasa sijaona nguruwe yeyote anatanba kwamba watanzania ni maiti wanao tembea

Wala sijaona machawa njaa wakipost mapichapicha ya ushindi wa kishindo wa samia
 
Umeongea/andika kwa busara.
Haya ndio nilitaka tujadili wawili hapo awali.
 
Umeongea/andika kwa busara.
Haya ndio nilitaka tujadili wawili hapo awali.
Asante kwa kuliona hilo. Hii ni nchi yetu wote, panapohitaji msaada wa mawazo lazima tuchangie kwa mtazamo chanya
 
Achana kudanganywa na matamko ya mtandaoni yanayomhusisha Ibrahim Traore, 95% nibya kutengeneza tu
Hata kama yanatengenezwa si ndio ukweli wenyewe? Kinachotengenezwa si kinatengenezwa na watu kwa ajili ya watu? 😳
 
Hata kama yanatengenezwa si ndio ukweli wenyewe? Kinachotengenezwa si kinatengenezwa na watu kwa ajili ya watu? 😳
Yaani ukete habari rubbish nazo tuzijadili? Hii ni JF jukwaa la wenye akili, siyo pages za udaku. Be serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…