Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

Tatizo la Tanga ni Kunani?Mji Stori kubwa Baikoko na Mapenzi na kuoa na kuolewa na kuachwa.Ili Tanga ibadilike inabidi waswahili wote pale wanunuliwe na Madon Ili mji upate Msisimko.Pembeni ya Hapo Tanga itaendelea kuwa Dormant Dying City
 
Jiji halina wakazi wengi eala msongamano, sasa mwendokasi wa nini?
Ishu hakuna muingiliano hata kidogo kwa vile mji huo hauna shughuli za kiserikali , mfano kipind hiki ukienda Arusha kila semina inapelekwa huko , Kikao cha wakuregenzi wa mashirika huko , kufungua manunuzi ya kiserikali huko ..Kila kitu huko sasa huko serikali hawafiki sidhani hata uwanja wa ndege upo .
 
I tend to agree as have been visiting Tanga for a long time but the infrastructures etc remain the same and many times wonder how was it declared the cleanest city in Tanzania!
Focus on the so called clean areas are mainly in the city centre, trunk roads i.e. Taifa Road but if you go into Ngamiani areas it's pathetic. Gutters overflow with rubbish, clean water etc.
Look at Raskazone, the only place accessible to view the ocean, the car parking is virtually non existent!
AND to add the bodabodas are very rough along with bicycles.
NB; young children start selling kahawa and kashata by 5:00am - and believe me there are many!
 
To add; shops open at 8:00-9:00am and the staff have unlimited kahawa breaks.
By 12:30pm many close and start at 2:00pm. By 6:30pm all goes so quite that one wonders if this is indeed a City!
 
Jiji la tanga lina inadi ndogo sana ya wakazi. Hata msongamano wa magari hakuna. Siku za jpili na jmosi magari machache, sasa mwendo kasi wa nini?
Bora uwaeleze wenyeji waache kulaumu, Jiji gani idadi ya Baiskeli inataka kulingana na idadi ya watu 😜🙌
 
Yaani alipoingiza Udini ndipo alipoharibu umuhimu na mvuto wa hoja yake ambayo kimsingi inamantiki fulani.
Kuna watu mambo ya Udini wameyapa kipaumbele kuliko mengine yote akiwemo mtoa mada.

Mtu Nyerere ameng'atuka madarakani Mwaka 1985, lakini Leo hii miaka 39 baadaye bado wanamlaumu Mzee wa watu ili hali amelala zake Mauti🙌
 
Habari ndugu zangu wa JF,

Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.

Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.

Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.

Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.

Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.

Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.

Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.

View attachment 2957167
Kwa kweli Arusha inafanya nchi ipoteze balance, kuna siku nilitoa hoja kwamba hata semina za serikali ziangie uwiano wa kimikoa, kila taasisi ya serikali kama wana semina au vikao, ni Arusha tu. Husikii Mwanza,Li di, Mtwara, Ruvuma, Tanga ni kidoogo.

Ndio.maana wamasai wakigoma, serikali inahaha, wakati ingeweza juwa na njia zaidi ya moja ya kupitisha watalii, mfano mwanza, mara. No investment.

Tanga na Zanzibar ni kama zinafanana, ilikuwa rahisi kuwavuta watalii walio Zanzibar waje Tanga. Utalii wa bahari na beach. Nadhani tunahitaji think tank za taifa wakae mezani. Nchi imelemea upande mmoja tu, Arusha
 
Arusha iliteseka enzi za Mwendazake. Iacheni ipumue kwa sasa
 
Sababu Mojawapo ni kuwa mikoa mingine haina hotel zenye kukidhi vigezo na mahitaji ya staff kwenda kufanya kazi na kupata huduma stahiki.
Na mfano hotel nyingi kwa mikoa mingine hazijajisajiri kwenye mfumo wa manunuzi wa umma kama sharti.
Dodoma ipo moja tu au hakuna kabisa, imagine?! 🤔🤔
Kama tunataka watu wawe naenda kikazi mikoa mwingine tuweke mazingira ya hayo.
Vingine wataendelea kwenda Arusha tu pamoja na kuwa hawajui kupika ugali vizuri.
 
Uko dunia gani eti bandari ya Tanga imekufa? bandari imekarabatiwa kwa bilioni nyingi na mapato yamepañda kwa zaidi ya asilimia 60,na halmashauri mapato yako around bil 16
Haijui Tanga huyo,msamehe bure!!
 
Back
Top Bottom