Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Sasa hoja ni kuhesabika au hakuna?Sasa hizo za kufanya kuhesabu na zikaweza kuhesabika?!
Acha kujitoa fahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hoja ni kuhesabika au hakuna?Sasa hizo za kufanya kuhesabu na zikaweza kuhesabika?!
Sasa hoja ni kuhesabika au hakuna?
Acha kujitoa fahamu
Sasa kwani amesemaje?Kwani amesema hakuna kabisa?
Wameleta impact gani baada ya kwenda huko?Wajanja na diaspora wengi wanatokea Tanga
Ulitaka wajenge lami au ? wakati wamejengwa kwao , huo Banda tu kajenga kwao .Wameleta impact gani baada ya kwenda huko?
Ishu hakuna muingiliano hata kidogo kwa vile mji huo hauna shughuli za kiserikali , mfano kipind hiki ukienda Arusha kila semina inapelekwa huko , Kikao cha wakuregenzi wa mashirika huko , kufungua manunuzi ya kiserikali huko ..Kila kitu huko sasa huko serikali hawafiki sidhani hata uwanja wa ndege upo .Jiji halina wakazi wengi eala msongamano, sasa mwendokasi wa nini?
Bora uwaeleze wenyeji waache kulaumu, Jiji gani idadi ya Baiskeli inataka kulingana na idadi ya watu 😜🙌Jiji la tanga lina inadi ndogo sana ya wakazi. Hata msongamano wa magari hakuna. Siku za jpili na jmosi magari machache, sasa mwendo kasi wa nini?
Kuna watu mambo ya Udini wameyapa kipaumbele kuliko mengine yote akiwemo mtoa mada.Yaani alipoingiza Udini ndipo alipoharibu umuhimu na mvuto wa hoja yake ambayo kimsingi inamantiki fulani.
Kwa kweli Arusha inafanya nchi ipoteze balance, kuna siku nilitoa hoja kwamba hata semina za serikali ziangie uwiano wa kimikoa, kila taasisi ya serikali kama wana semina au vikao, ni Arusha tu. Husikii Mwanza,Li di, Mtwara, Ruvuma, Tanga ni kidoogo.Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167
Arusha iliteseka enzi za Mwendazake. Iacheni ipumue kwa sasaKwa kweli Arusha inafanya nchi ipoteze balance, kuna siku nilitoa hoja kwamba hata semina za serikali ziangie uwiano wa kimikoa, kila taasisi ya serikali kama wana semina au vikao, ni Arusha tu. Husikii Mwanza,Li di, Mtwara, Ruvuma, Tanga ni kidoogo.
Ndio.maana wamasai wakigoma, serikali inahaha, wakati ingeweza juwa na njia zaidi ya moja ya kupitisha watalii, mfano mwanza, mara. No investment.
Tanga na Zanzibar ni kama zinafanana, ilikuwa rahisi kuwavuta watalii walio Zanzibar waje Tanga. Utalii wa bahari na beach. Nadhani tunahitaji think tank za taifa wakae mezani. Nchi imelemea upande mmoja tu, Arusha
Kwa kweli Arusha inafanya nchi ipoteze balance, kuna siku nilitoa hoja kwamba hata semina za serikali ziangie uwiano wa kimikoa, kila taasisi ya serikali kama wana semina au vikao, ni Arusha tu. Husikii Mwanza,Li di, Mtwara, Ruvuma, Tanga ni kidoogo.
Ndio.maana wamasai wakigoma, serikali inahaha, wakati ingeweza juwa na njia zaidi ya moja ya kupitisha watalii, mfano mwanza, mara. No investment.
Tanga na Zanzibar ni kama zinafanana, ilikuwa rahisi kuwavuta watalii walio Zanzibar waje Tanga. Utalii wa bahari na beach. Nadhani tunahitaji think tank za taifa wakae mezani. Nchi imelemea upande mmoja tu, Arusha
Bora uwaeleze wenyeji waache kulaumu, Jiji gani idadi ya Baiskeli inataka kulingana na idadi ya watu 😜🙌
Sasa kwani amesemaje?
Swali gani Hilo wauliza?
Ngoja nije nitembee huko kisha nifike Lushoto kupunga upepo 🤗Ilikuwa zamani hiyo bana 😆😆😆
Siku hizi kuna Bodaboda , bajaj na daladala.
Ngoja nije nitembee huko kisha nifike Lushoto kupunga upepo 🤗
Shukrani Mkuu, will soon be there 🙏Karibu sana 😀😅
Haijui Tanga huyo,msamehe bure!!Uko dunia gani eti bandari ya Tanga imekufa? bandari imekarabatiwa kwa bilioni nyingi na mapato yamepañda kwa zaidi ya asilimia 60,na halmashauri mapato yako around bil 16