Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani


Kama Akili yako inafikiri hapo Saudia kanisa halipatawali basi nimekubali historia unayoijua ni kubwa Mno na siifikii hata robo.
 
🤣
 
Jawa waislam wanaowaona waarabu kama Miungu?
Hapana hatuwaoni kama mungu ndo mana mwarabu akija naye anaenda msikitini na anaswalishwa na imami ambaye ni mbongo lakini padre hawezi kusaliswa na muuni wa kawaida. Totally uungu unaanzia hapo
 
Hakuna seminary inayo accept muislamu ndugu. Nyie mmeshajijrngea ufalme hapa duniani na mungu atawasusha one day
 
Unaelewa maana ya neno Kiongozi? Huko kwenye Uislam wenu hamna viongozi? Je, yale matamko ya kuanza na kumalizika kwa mfungo wenu wa Ramadhan huwa yanatolewa na miungu ya kiislam?

Jitahidi kuficha unafiki Sheikh.
Kila mtu ndani ya uislamu anaweza kuona mwezi siyo lazima atangaziwe na shekhe. Ila nyie kila kitu mpaka muongozwe na mtu Wala siyo mungu. Kuna uwezekano siku ya kiama mkaachwa kisa padre hajawaambia.
 
Kila mtu ndani ya uislamu anaweza kuona mwezi siyo lazima atangaziwe na shekhe. Ila nyie kila kitu mpaka muongozwe na mtu Wala siyo mungu. Kuna uwezekano siku ya kiama mkaachwa kisa padre hajawaambia.
Kila mwaka hamuwezi kufunga/kufungulia mpaka Mufti wenu wa Bakwata atoe tamko. Halafu unaleta ubishi hata kwenye jambo dogo tu.

Je, unijibu sasa! Bakwata na Mufti ndiyo miungu yenu? Maana kila wanachosema, na nyinyi huwa mnatii.

Au unaweza ukanipa majibu sahihi ya kwa nini kila mwaka Wasunni huanza kusherehekea sikukuu yenu ya Eid El Fitr siku moja kabla ya waislam walio chini ya Bakwata?
 
Kila mwaka hamuwezi kufunga/kufungulia mpaka Mufti wenu wa Bakwata atoe tamko. Halafu unaleta ubishi hata kwenye jambo dogo tu.

Je, unijibu sasa! Bakwata na Mufti ndiyo miungu yenu? Maana kila wanachosema, na nyinyi huwa mnatii
Shida huujui uislam halafu unataka kubishana kuhusu uislam.
Jadili siasa ndugu mkatoliki
 
Shida huujui uislam halafu unataka kubishana kuhusu uislam.
Jadili siasa ndugu mkatoliki
Mimi siujui Uislam! Sawa kabisa. Na wala sitegemei kuujua maisha yangu yote.
Ila nyinyi ndiyo mnaujua Ukristo siyo!! Maana huyo ndugu yako hapo juu amesema sisi Wakatoliki tunawachukulia Maaskofu wetu kama miungu yetu, jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.

Namtolea mfano hai ili kumielimisha! na wewe unaamua kulivamia gari moshi, yena likiwa katika mwendo kasi!
 
Shida nadhani ilianza walipotamani kusikia tamko lake yeye alijibu kua ameziba masikio. Nahisi hizi ni jitihada za kumzibua masikio
 
Huyo aliyesema hayo maneno hapo, yeye alivyo kiruka njia hapo Dom, tuwaite hao "dipii wedii" waje wamalize hilo tatizo!!?
 
Waliotoa matamko hayo na ambayo sasa wanatekeleza waitwe wahojiwe wana mkakati gani.
Hapo watu wanaosemewa mkataba wakishafahamu ajenda yao huko mbele wamepanga nini.
Wakiachwa bila kuitwa na kuhojiwa kama wenzao serikali itaonekana dhaifu na itavutia wengine kufanya kama hivyo.Hao wengine wakifanya tusije tukaona ubaguzi wa kukamatwa.
 
Hakuna maovu kwenye mkataba wa DP World, zaidi zaidi unakuja kutupa changamoto za uendeshaji wa makampuni yetu mengi ya sekta ya usafirishaji.

Maaskoffu hawajaitendea haki serikali ya awamu ya sita tukizingatia kwa namna kanisa lilivyoshirikishwa kuanzia hatua za awali kabisa za biashara hii.
 
Mmechelewaa..

Kwa makofi haya leo kanisani nadhani kuna ujumbe mkubwa sana nyuma yake
Presdaa aungalie upya mkataba na abadili vipengele tata....
Kwani mkataba wameandika wenyewe hao bila ya serikali?
 
Rekebisheni madhaifu ya huo mkataba kabla mambo hayaja haribika. Kuna makundi ya watu wengi yalijitokeza kutoa kasoro zao.

Hivyo sioni ni kwa nini iwe nongwa kwa TEC nao kutoa maoni yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…