Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Mimi sijui hata hiyo tic ni nini

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Serikali na CCM waendelee na utekelezaji wao wa huo mkataba kwasababu wao ndio wenye mamlaka na hii nchi kwasasa ila sisi tumeshakabidhi kwa Mungu,
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Serekali iliyoko madarakani kwa wizi wa kura haina uhalali wowote wa umma. Amani ya nchi hailindwi kwa wananchi kukaa kimya kwenye mikataba mibovu. Hicho kichaka cha amani ndio kimechangia nchi yetu kuwa na mikataba mibovu. Kama mnajali amani, mbona huwa mnapora chaguzi za nchi wala hamjali hiyo amani?
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Kanisa Katoliki lina uwakilishi kamili wa kiselikari kwa kwa maana ya ubalozi wa Vatcan nchini.
Nitajie dhehebu jinginelo lenye hadhi ya ubalozi hapa nchini, think big brother
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
L I M E S H A S O M W A
 
Ni ushauri mbaya na wa hovyo sana huu. Haufai hata kidogo..!

Nani anaweza kumzuia Mungu kuwa Mungu? Usitake kutaka kuendelea kumchomeka kwenye shida zaidi Rais wetu. Hii aliyonayo inatosha. Mshauri namna bora ya kutoka kwenye hii aliyonayo

Mambo ya mimbarini (madhabahuni) ndani ya kanisa ni ibada. Ni makosa makubwa kwenda kuvuruga ibada ya watu simply tu kwa sababu, kanisa limekataa mpango fulani wa serikali..!
 
Inatakiwa polisi Kila juma2 wawe wanazagaa kwenye makanisa ya kikatoliki kupiga doria
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Imeshasomwa mpaka wale wa kijijini wameshtuka.
Sema wiki 6 ni nyingi aisee.
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Sasa Tamko mmezuia lisiandikwe magazetini... Kwanini?? Mnaficha nini?
Mmesababisha Tamko limesomwa kwa watu wengi na kufuatiliwa upeo!
Akili za Anapenga ni ugoro mtupu😂😂😂!
 
Tatizo think tank inayomzunguka sa 100 ni zero brain ,wanampotosha Sana huyu mama
 
Tulifikirie hili swala bila jazba kwa sababu ni jambo ambalo linaweza kuhatarisha amani ya nchi. Propaganda hiyo itakayotokea na huo waraka wa TEC kusomwa Kanisani ni kambo ambalo serikali itashindwa kutanzua.

TEC imetoa tamko na serikali imesikia, hiyo inatosha. Serikali iingize mkono Kanisani. That is my robotic advice. Vinginevyo sasa, tutakuwa na serikali ngapi?
Wasukuma ndo wenye akili hizi☹☹
 
Tatizo ni serikali ya CCM ,mmezuia lisiandikwe gazetini, kwanini yaani serikali ndo mmesababisha andiko hili lienee kwa Kasi ya kimbunga na kusomwa na watu wengi zaidi kuliko hata limeandikwa gazetini, yaani mmezima Moto wa petroli kwa kuumwagia maji,wiki 6 ni nyingi mno kila mtu anaweza kulipata namna ya kufanya labda serikali itoe tamko rational la upatanisho ili andiko hili likose nguvu,ukweli limeenea mno mpaka hata kwa watu wanaojua kusoma a, e, i, o,u tu, na linaenea kwa Kasi ya Moto wa kifuu yaani wiki 6 watanzania milioni hata 50 wanaweza kuwa wamefikiwa
 
Back
Top Bottom