Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Asante kwa ufafanuziWewe ni mpotoshaji sana!
Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Barabara ya mwendokasi ni kichanja cha kuuzia bidhaa?Wewe ni mpotoshaji sana!
Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Waache! Magari yakianza kupita watatafuta sehemu nyingine ya kupayia riziki zao.Barabara ya mwendokasi ni kichanja cha kuuzia bidhaa ?
Tena kapanda dala dalaLeo hii unakaa tandika?
Si ulisema hizo ni sehemu za watu masikini?
Ana vituko sana huyuTena kapanda dala dala
Aahaaa
Hapo wakishakufa zitaundwa tume na marufuku za hapa na pale!Hawa ni Wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea .
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki , lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele .
View attachment 2792653View attachment 2792670
Hivi we umewahi kwenda Mbagala mbona watu hovyo namna hii, anapotosha nini? Mbagala Zackiem hadi Rangi 3 kwote wafanyabiashala wametapakaa barabarani foleni haiishi yamagali pale iwe j3 hadi j2 foreni yani kutoka Zackiemu hadi Rangi 3. unaweza kutumia saa zima sehemu ya umbali mita kama 400 tu.Wewe ni mpotoshaji sana!
Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Labda kama umejitoa akili , siku zote nikiwa Tanzania ninaishi Tandika Mwembeyanga au Kyela Kajunjumele , lakini sijawahi kuwa kapuku .Waache! Magari yakianza kupita watatafuta sehemu nyingine ya kupayia riziki zao.
Leo hii unakaa tandika?
Si ulisema hizo ni sehemu za watu masikini?
Nimecheka sana wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kama umejitoa akili , siku zote nikiwa Tanzania ninaishi Tandika Mwembeyanga au Kyela Kajunjumele , lakini sijawahi kuwa kapuku .
Jifunze kuwa na adabu , sisi ni viongozi wako wajao , usitukanetukane hovyo
Kama ungekuwa unaishi maeneo ya huku usingesema haya Maneno, sijawahi kuona sehemu ambayo serikali imelala kama Jimbo hili la mbagala ni UJINGA unafanyika kwenye maeneo yote kama hapa rangi3 ni eneo ambalo biashara zinafanyika ndani ya barabara na ukipita muda wa jioni magari yanapita mojamoja kwenye lanes mbiliWewe ni mpotoshaji sana!
Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Hao jamaa hawaogopi magari na hawajali usalama waoHawa ni Wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea .
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki , lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele .
View attachment 2792653View attachment 2792670
Labda tuseme hawakuanza leo au mleta mada ndio umefika leo mjini na gari la maspika +255 kutoka songwe!Hawa ni Wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea .
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki , lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele .
View attachment 2792653View attachment 2792670
Hela siyo kama jasho kwamba kila mtu anaweza kuwa nazoWe una majivuno sana