DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waache! Magari yakianza kupita watatafuta sehemu nyingine ya kupayia riziki zao.

Leo hii unakaa tandika?

Si ulisema hizo ni sehemu za watu masikini?
Kwa hiyo huo ndio utaratibu wa nchi hii??
 
Ndio wanamopatia riziki mkuu, ajira hakuna, wao selikali wanaishia kununua tu ma V8
Kila mtu akisema ajipatie riziki bila utaratibu hii bado itaendelea kuwa nchi ?? Yani watu wakae katikati ya barabara, shuleni, hospitali n.k kufanya umachinga kisa wanatafuta riziki! Akili za hovyo sana hizi
 
Mwenye akili za hovyo ni wewe!

Ache wafanye popote ili selikali izinduke kuwawekea sehemu maalum
 
Kila mtu akisema ajipatie riziki bila utaratibu hii bado itaendelea kuwa nchi ?? Yani watu wakae katikati ya barabara, shuleni, hospitali n.k kufanya umachinga kisa wanatafuta riziki! Akili za hovyo sana hizi
Kuna wajinga kazi Yao ni kupinga kilakitu hata Hili la wamachinga kufunga barabara wanaona sawa tu
 
Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.

Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele.

Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .

Mtu yupo barabarani Mbagala, Mbezi Luis au hata dukani pale Kariakoo mazingira ni hatarishi... Harufu nzito... Hewa haitoshi... Sasa waambie uone watakavokushukia!!🤣😂🤣😂
Watu wa Dsalamu bhana!!
 
Back
Top Bottom