DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ngoja aamke!

Sasa hivi atakuwa anaandaa chai ya mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na Kweli,nyumba nyingi za mwembeyanga ni za urithi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Erythrocyte natani bwana usipaniki buree
 
Wakati Machinga wanatolewa si mlikua mstari wa mbele kuwatetea kua wanajitafutia riziki zao, imekuaje tena, ajali kazini tutazika na maisha yataendelea.
Jibu la kigwantan 🤣🤣
 
Wewe ni mpotoshaji sana!

Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Hata hii barabara ya kawaida kuanzia saa za jioni wanaitumia kiasi waendesha magari hutumia njia moja hasa kuanzia njia panda ya round about ya kuelekea Chamazi kuja stendi ya rangi tatu. Kero ni kubwa sana.
 
Hata hii barabara ya kawaida kuanzia saa za jioni wanaitumia kiasi waendesha magari hutumia njia moja hasa kuanzia njia panda ya round about ya kuelekea Chamazi kuja stendi ya rangi tatu. Kero ni kubwa sana.
Ndio wanamopatia riziki mkuu, ajira hakuna, wao selikali wanaishia kununua tu ma V8
 
Hakuna sehemu ya hovyo hapa tanzania kama mbagala zakhem Hadi rangitatu ,kuna upuuzi mkubwa sana wa hawa machinga. Ni kama hakuna serikali Wala ufuatiliaji.

Wanapanga machungwa na bidhaa nyingine kama viazi pembezoni mwa barabara kabisa na gari zinapita hapo hapo na hakuna wakusema

Matokeo yake foleni hii njia haiishi , unaweza pita saa Sita usiku Kuna foleni kwa ujinga WA hawa machinga na madereva wanaopakia njiani

Mbagala ni vietnum ya pili kwa wingi WA watu ndio maana ya vurugu zote hizi

Nishawai shangaa siku Moja machinga anamdindia dereva eti asipite atakanyaga nguo zake alizopanga njiani, nilitamani nishuke nimpige mitama yule machinga pale chini.
 
Mimi naona wagongwe wafe tuu. Yani wasted life ningekuwa na uwezo ningewatoa kafara niendelee kuneemeka na utajiri ama kuwageuza watumwa kwa kuwafanyisha kazi bure bila malipo.
Wewe kweli ni Barbarian ,Maghayo The Barbarian .Ingekuwa post ya mtu mwingine ningeshangaa sana.
 
Tukisema mbagala wamejaa Kaya maskin wafuasi wa tasaf watu wanakasirika🤣😂
Mimi naona bongo nzima ni masikini tu .

Mimi nilijaribu kumuonyesha picha za masaki,O.bey na Mbezi beach rafiki yangu wa Falme za Kiarabu alilia sana kuona Tanzania wanaishi maisha magumu sana na sehemu pabaya mno ,nikamwambia huko ndio ushuani kwetu basi alizidi kusikitika hakuamini kwa kufikiria kama hapo ndipo ushuani uswazi kupo vipi (In Kiduku Lilo's voice )

Cc : Maghayo
 
Yanga- mango - Tandika [emoji920]🛺[emoji588]

Hivi ilikuwaje kukaitwa mwembe yanga? [emoji38][emoji14]
 
Back
Top Bottom