DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waache! Magari yakianza kupita watatafuta sehemu nyingine ya kupayia riziki zao.

Leo hii unakaa tandika?

Si ulisema hizo ni sehemu za watu masikini?
Atakwambia anatoka kutalii Kilwa 🤣🤣🤣🤣
 
Wanataka damu ili uchaguzi uwaendee vizuri.

Unadhani watapataje bila maafa?
Una Imani za kizamani na wewe!kwani viongozi ndio wamewatuma wakakae hapo?na mtu anagongwaje hapo mfano wakati hapo n mwendokasi ambazo hazijaanza matumizi?
 
Unaambiwa barabara inapikiwa hadi ugali huku ikikaangiwa hadi mihogo !
Mbagala ni hatari sana
Mimi mwenyewe siku niliyopita nilishangaa sana ule msongamano wa watu na uchafu wa barabara ya mwendokasi.
Watu wamejaa hovyo barabarani, yaani barabara ni chafu mno,Nilikuja nikaandika humu kuhoji,wakasema bado haijamaliziwa ukarabati
.. kwanza foleni kubwa maana barabara ina mchanganyiko wa watu na magari.

Mbona Morogoro road toka kimara kwenda kibaha watu hawafanyi hizo biashara katikati ya barabara ya mwendokasi.. na japokuwa ujenzi wake haujaisha ila siyo chafu kama ya Mbagala.

Watu wa Mbagala wameendekezwa.
 
Nitoshe kusema siasa za kutafuta sifa ni mbaya sana, watu wanashindwa kuwahi makazini, foleni ya kujitakia, mkuu WA mkoa mpenda sifa na kufanya siasa za hovyo, Jiji limemshinda!! Ukishaona Mambo hovyo barabarani just uongozi WA mkoa ni hamnazo, njoo Kwa mkuu WA wilaya Hovyo, fikiria the only High Way inageuzwa soko Kwa nini wasijenge masoko!!
 
Kwa hapa DAR sijapata ona sehemu ambayo wafanyabiashara wanafunga njia ili kufanya biashara isipokuwa huku Mbagala...najua hawa wafanyabiashara wataondoka katikati ya barabara Hadi patokee maafa
Nani amewaruhusu wawepo kama Sio sihasa za Hovyo, watupe budget ya Yale mabango yanayokataza na hakuna anayeyaheshimu!?
 
Huyo jamaa Erythrocyte ana mbwebwe sana,hakuna Tajiri anaishi Tandika Mwembeyanga,hiyo ni kutokana na Ulinzi Binafsi wa mwili na Mali za Tajiri maana huko Tandika ni pango la wanyang'anyi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hujiona yeye ndio mwenye akili kuzidi kila mtu
 
Mbagala ni hatari sana
Mimi mwenyewe siku niliyopita nilishangaa sana ule msongamano wa watu na uchafu wa barabara ya mwendokasi.
Watu wamejaa hovyo barabarani, yaani barabara ni chafu mno,Nilikuja nikaandika humu kuhoji,wakasema bado haijamaliziwa ukarabati
.. kwanza foleni kubwa maana barabara ina mchanganyiko wa watu na magari.

Mbona Morogoro road toka kimara kwenda kibaha watu hawafanyi hizo biashara katikati ya barabara ya mwendokasi.. na japokuwa ujenzi wake haujaisha ila siyo chafu kama ya Mbagala.

Watu wa Mbagala wameendekezwa.
Mi najiuliza mbona buguruni sheli wameweza na kwasasa ni safi,waliokua wanafanya barabarani wametolewa.
 
Ni matokeo ya kuishi mwembeyanga. Ni wajuaji sana....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16](ila akiamka nitakoma[emoji1787])
Ngoja aamke!

Sasa hivi atakuwa anaandaa chai ya mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom