Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Tukisema mbagala wamejaa Kaya maskin wafuasi wa tasaf watu wanakasirika🤣😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kweli,nyumba nyingi za mwembeyanga ni za urithi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Erythrocyte natani bwana usipaniki bureeNgoja aamke!
Sasa hivi atakuwa anaandaa chai ya mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jibu la kigwantan 🤣🤣Wakati Machinga wanatolewa si mlikua mstari wa mbele kuwatetea kua wanajitafutia riziki zao, imekuaje tena, ajali kazini tutazika na maisha yataendelea.
Hata hii barabara ya kawaida kuanzia saa za jioni wanaitumia kiasi waendesha magari hutumia njia moja hasa kuanzia njia panda ya round about ya kuelekea Chamazi kuja stendi ya rangi tatu. Kero ni kubwa sana.Wewe ni mpotoshaji sana!
Hapo wapo kwenye barabara ya mwendo kasi ambayo bado haijaanza kutumika.
Ndio wanamopatia riziki mkuu, ajira hakuna, wao selikali wanaishia kununua tu ma V8Hata hii barabara ya kawaida kuanzia saa za jioni wanaitumia kiasi waendesha magari hutumia njia moja hasa kuanzia njia panda ya round about ya kuelekea Chamazi kuja stendi ya rangi tatu. Kero ni kubwa sana.
Sawa ndio wanapopatia riziki ila wawekewe utaratibu mzuri mkuu na uwe unasimamiwa kwa weledi. Lengo ni kuweka mazingira rafiki kwa pande zote.Ndio wanamopatia riziki mkuu, ajira hakuna, wao selikali wanaishia kununua tu ma V8
Nakusubir Cocastic[emoji849]Nimecheka sana wallah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Jifunze kuwa na adabu , sisi ni viongozi wako wajao , usitukanetukane hovyo
Chalamila pia amewashindwa pamoja na vitisho vyake vyote dhidi yao.Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele.
Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .
Hapo mwenye kosa ni selikaliSawa ndio wanapopatia riziki ila wawekewe utaratibu mzuri mkuu na uwe unasimamiwa kwa weledi. Lengo ni kuweka mazingira rafiki kwa pande zote.
Wewe kweli ni Barbarian ,Maghayo The Barbarian .Ingekuwa post ya mtu mwingine ningeshangaa sana.Mimi naona wagongwe wafe tuu. Yani wasted life ningekuwa na uwezo ningewatoa kafara niendelee kuneemeka na utajiri ama kuwageuza watumwa kwa kuwafanyisha kazi bure bila malipo.
Mimi naona bongo nzima ni masikini tu .Tukisema mbagala wamejaa Kaya maskin wafuasi wa tasaf watu wanakasirika🤣😂
Tukisema mbagala wamejaa Kaya maskin wafuasi wa tasaf watu wanakasirika[emoji1787][emoji23]
Mkuu hao wote ni watu wenye akili timamu.Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele.
Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .