DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi wewe umewahi kupita mbgl jioni ukaona Hali ilivyo siyo kwenye mwendo Kasi Wala barabara ya kawaida kokote wapo
Tatizo jingine litaanza baada ya mradi wa mwendokasi hao wafanyabiashara wataenda wapi na wateja wao wapo hapohapo mbagala

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Waache! Magari yakianza kupita watatafuta sehemu nyingine ya kupayia riziki zao.

Leo hii unakaa tandika?

Si ulisema hizo ni sehemu za watu masikini?
Kwa hiyo huo ndio utaratibu wa nchi hii??
 
Ndio wanamopatia riziki mkuu, ajira hakuna, wao selikali wanaishia kununua tu ma V8
Kila mtu akisema ajipatie riziki bila utaratibu hii bado itaendelea kuwa nchi ?? Yani watu wakae katikati ya barabara, shuleni, hospitali n.k kufanya umachinga kisa wanatafuta riziki! Akili za hovyo sana hizi
 
Mwenye akili za hovyo ni wewe!

Ache wafanye popote ili selikali izinduke kuwawekea sehemu maalum
 
Kila mtu akisema ajipatie riziki bila utaratibu hii bado itaendelea kuwa nchi ?? Yani watu wakae katikati ya barabara, shuleni, hospitali n.k kufanya umachinga kisa wanatafuta riziki! Akili za hovyo sana hizi
Kuna wajinga kazi Yao ni kupinga kilakitu hata Hili la wamachinga kufunga barabara wanaona sawa tu
 
Mtu yupo barabarani Mbagala, Mbezi Luis au hata dukani pale Kariakoo mazingira ni hatarishi... Harufu nzito... Hewa haitoshi... Sasa waambie uone watakavokushukia!!🤣😂🤣😂
Watu wa Dsalamu bhana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…