Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
 
Mguu kama waraka wa TEC.
 
Fanyeni hivyo hata Sasa muone serikali nzima inavyodondoka kama barafu kwenye moto wa gesi. Ukiwagusa TEC hakikisha unauwa walimu wakatoliki wote Tanzania. Manesi na madaktari wakatoliki wote Tanzania. Wanajeshi wa jwtz na wakuu wa kamandi wakatoliki wote ukimaliza nenda pale karibu na St pitas kauwe maofisa wakatoliki wote ukimaliza hapo nenda kwenye maghala ya mabomu vifaru mizinga risasi na silaha ambapo wakatoliki wapo. Mkiwamalizs hao kaeni mustarehe Kwa amani Tanzania.
 
Mbona unaandika uharo we lofa? Yaani ukamate kanisa zima unataka nini zaidi? Achaga uchochezi kima we!
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
LOFA tu wewe
 
Unaonekana unatoa ushauri murua ila ujue huo ni muziki mnene, hiyo ngoma haiwezekani labda regime ijitoe ufahamu ndio itaweza kuwakamata. Huu utakuwa ni udikteta mpevu iddi amini kwa kivengere akasome. Nchi itavurugika vibaya sana
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima
❤️❤️❤️#Mmeua Ndugu zetu, na Sisi tunakuja kwenu vibaraka wa CCM (Polisi, Wajumbe na Machawa)❤️❤️❤️❤️
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
Jamaa wanadeka sana, ni muhimu kuwashughulikia sasa
 
Alishawaambia wazee wa dar TEC Hawampendi kwa sababu ya dini yake.
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.

Loh! Kumbe mleta mada ni mwendawazimu wa kiwango hiki!!
 
Ni bora ungeandika maridhiano na utoaji ripoti kwenye tume ya chande kuliko kuandika uharo huu. Hii inaitwa niguse unuke, we unadhani itakula upande mmoja tu?
 
Back
Top Bottom