1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.