Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.

Mkifanya huo ushetani, mtakuwa rasmi mmeungana na Boko Haramu. Hiyo inaitwa state terrorism. Na gaidi ni halani kushambuliwa na yeyote kwa lengo la kuwalinda wanaofanyiwa ugaidi.
 
Upo choo cha shimo
unaandika uharo tupu
usisahau kuchamba tu
pimbi kiazi wee!
 
Wakamate muone
Trump ashawaonya tabia yenu ya kuonea na kuuwa wakristo
Haya kama wakristo wengine muuwe
Kwa lugha nyepesi hao waliotajwa hapo wote ndio vibaraka wa Wazungu wanaotumiwa Ili kuvuruga amani
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
Kumamamamamayo
 
Ntakupa majibu mepesi sana sema MWANASHERIA wangu yupo uhamishoni kwa Sasa.

Issue ilikua simple grievances za watanganyika wakitaka reforms za msingi unadhani watanzania ni wajinga...

Yaani tume ya uchaguzii unateua wewe mwenyewe unazani UFM watampinga majizo?!

Nyie ni MAUBWA TENA MAUBWA NA MNA CHOKONOLEWA NA TOOTH STICK
 
Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii
Bila shaka wewe ndiye mshauri mkuu wa bibi....mawazo kama haya aliyatumia kuwauliza wenye nguvu zao, "Who are you", swali ambalo bado linamtoa kamasi na bado unataka kumtafutia dhahama nyingine.
Watu kama wewe hamumtakii mema huyu kikongwe wenu.
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
🤣🤣🤣🤣🤣
Una akili kama kiatu chako
 
Attachments

  • Screenshot_20251227_130456_Chrome.jpg
    Screenshot_20251227_130456_Chrome.jpg
    110.5 KB · Views: 16
Imkamate na Tundu Lissu....oh kumbe tayari wameshamkamata😁
 
MKUU , Serikali tuiache ifanye kazi yake pasipo kusukumwa na MTU.

Moja ya mambo yanayoweza kuondoa credibility kwa Serikali ni pamoja na kufanyia Kazi maoni binafsi ambayo yana bias .

Swala la 29/10 linabidi kushughikiwa kuanzia katika Chanzo zaidi na sio matokeo.

Ili ufikie jawabu zuri utaanza na huu mchakato

Mwaka 2024 uchaguzi wa Serikali za mtaa haukuwa na uwazi kwa vyama pinzani .

Mwaka 2024 Chadema wakadai Kama hakutakuwa na mabadiliko ya uchaguzi hawatashiriki uchaguzi mkuu.

Mwaka 2025 , ikaanza No reform no election.

Kuelekea uchaguzi mkuu TAL anakamatwa akiwa akieneza no reform no election

Baadae kunatokea sintofahamu watu kupotea n.k

Na mwisho makanisa yanafungiwa.

Nimejaribu Ku-skip baadhi ya mambo

Ila unaweza kuona ni namna gani matukio yaliambatana .

Kwahiyo uwepo wa MO29 ulichagizwa na hasira za kuanzia 2024-2025.

Ndo maana wadau wa Amani na haki.

Wanashauri tusihukumu MTU Ila tujihukumu sisi

Endapo tukijihukumu sisi ujue tutakuwa tumetibu tatizo from the grassroots.
 
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL Dickson
3. Nabii Denis wa Morogoro.
4. Viongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima.
5. Viongozi wa juu CHADEMA.
Ile issue ilikuwa planned kabisa kwa ustadi.
Haiwezekani uchome sheli zaidi ya 100 halafu hakuna hata mchomaji mmoja aliyelipuliwa na mafuta.. Sheli ukiichoma kama unachoma mahindi lazima na wewe mchomaji ufe.
Ushoga unakusumbua
 
Wanaopaswa kukamatwa
1. Mgombea CCM
2.Mwenyekiti TUME
3.IGP
4.Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama

Hawa wanapaswa kunyongwa hadharani.
 
Jamaa wanadeka sana, ni muhimu kuwashughulikia sasa
Yaani watu walipata training ya kufanya uhalifu, kuchoma sheli na mashine za mwendokasi zilivyoharibiwa kitaalam
Kuna yule askofu alilishutumu TEC kuhifadhi watu waliofanya vurugu 29/10,kila nikitafuta video yake siipati
 
Back
Top Bottom