Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Ukweli ni kwamba huwa hawachanguliwi na mtu
 
Tena tumejua mambo mengi sn
 
Huwezi kutenganisha siasa za kijinga za CCM na viongozi wa dini (wachumia tumbo).
 
utaratibu huu ulizidi kipimo kipindi cha awamu ya tano cha Mfalme.
 
Umesahau matamko ya serikali yalikuwa yanatolewa st. Peter's wakati wa utawala wa yule raisi PUNGUANI
 
Umesahau matamko ya serikali yalikuwa yanatolewa st. Peter's wakati wa utawala wa yule raisi PUNGUANI

Pole. JPM mzalendo wa kweli. Mpaka Sasa umekufa Kuna mtu wa hate love relationship anateseka na maiti. Live your life. Unajua on a serious Note Kama kuna punguani namwona ni yule jamaa Yuko nje. Ni kama muhuni wa kijijini. Hachagui cha kuongea wala mahali. Anajidanganya kupendwa kwa kuwa mko wajinga kama nyie. Ila milembe haijawahi kuisha wateja. Niko hapa nakatiza mwenge barabara za juhudi za mwanamume mwenzangu. Mwanamume anatambulika kwa matendo. Sio ngonjera na kuvaa mafulana yenye misemo ya taarabu. Hajui hata anataka nini kwake binafsi, atajua ya Taifa. Mkapa thanks for the gift of our late JEMBE. Sasa Mama chaguo la JEMBE tupeleke mbele..

Tanzania kwanza. Siasa za kijinga zibaki tu mitandaoni. Mungu hujawahi wanyima watanzania mdomo na umbeya. Ila live waoga na wezi wakubwaaa.
 
Huu utaratibu si ulikuwepo toka enzi za shujaa wa Afrika. Mbona haukusema auache akiwepo?
 
Unawajuaje viongozi wa dini wahuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…