Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

Huko ulaya pia huwezi kukuta huu ujinga wa watawala wa kiafrika kutaka kusifiwa huku wanaingia madarakani kwa wizi wa kura. Unakutana na kiongozi wa kiafrika ana ulinzi wa ajabu kwenye nchi yake, tena anasema ameingia madarakani kwa kura,lakini akienda kwenye nchi ambayo hajapigiwa kura na hata mtu mmoja ana ulinzi wa kawaida kabisa.
Ukweli ni kwamba huwa hawachanguliwi na mtu
 
Umejua leo baada ya Mwingira kusema kweli? Wakati tulipokuwa tunasema kuwa Magufuli alikuwa anatumia viongozi wa dini na madhabahu kuhadaa watu kubwa ni mtu mwema,mlikuwa mnasema kuwa yeye ni mcha Mungu. Tulisema Magufuli hakuwa mcha Mungu bali katili anayejificha kwenye viongozi wa dini, sasa Mwingira kaweka ukweli tuliokuwa tunausema muda wote watu wakitekwa na kuuwawa.
Tena tumejua mambo mengi sn
 
Huwezi kutenganisha siasa za kijinga za CCM na viongozi wa dini (wachumia tumbo).
 
091aefd8.jpg
 
utaratibu huu ulizidi kipimo kipindi cha awamu ya tano cha Mfalme.
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umesahau matamko ya serikali yalikuwa yanatolewa st. Peter's wakati wa utawala wa yule raisi PUNGUANI
 
Umesahau matamko ya serikali yalikuwa yanatolewa st. Peter's wakati wa utawala wa yule raisi PUNGUANI

Pole. JPM mzalendo wa kweli. Mpaka Sasa umekufa Kuna mtu wa hate love relationship anateseka na maiti. Live your life. Unajua on a serious Note Kama kuna punguani namwona ni yule jamaa Yuko nje. Ni kama muhuni wa kijijini. Hachagui cha kuongea wala mahali. Anajidanganya kupendwa kwa kuwa mko wajinga kama nyie. Ila milembe haijawahi kuisha wateja. Niko hapa nakatiza mwenge barabara za juhudi za mwanamume mwenzangu. Mwanamume anatambulika kwa matendo. Sio ngonjera na kuvaa mafulana yenye misemo ya taarabu. Hajui hata anataka nini kwake binafsi, atajua ya Taifa. Mkapa thanks for the gift of our late JEMBE. Sasa Mama chaguo la JEMBE tupeleke mbele..

Tanzania kwanza. Siasa za kijinga zibaki tu mitandaoni. Mungu hujawahi wanyima watanzania mdomo na umbeya. Ila live waoga na wezi wakubwaaa.
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huu utaratibu si ulikuwepo toka enzi za shujaa wa Afrika. Mbona haukusema auache akiwepo?
 
Unawajuaje viongozi wa dini wahuni?
 
Back
Top Bottom