Serikali isitishe utaratibu wa kuthamini viongozi wa dini wahuni kwenye shughuli zake

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
naona baada ya mwingira kuwaambia ukweli mmefura, sasa yanawatoka tu, jifunzeni kuheshimu haki za wengine ili nanyi mpate kuheshimiwa.
kwani Mwingira kafura kwa sababu ipi?
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

..wazo lako ni zuri.

..lakini viongozi wa ccm hawana msingi wa kiitikadi, hawana jambo lolote wanaotetea au kuamini, hivyo wanalazimika kujificha nyuma ya viongozi wa DINI ili kushawishi wananchi.

..kwa mfano, unyama wa awamu ya 5 ulikuwa unafunikwa kwa viongozi wake kujiweka karibu na viongozi wa dini na kujifanya kuwa ni wachamungu.
 
Nadhani kuna umuhimu viongozi wote wa dini wawe na vyeti vya theologia ya dini, na kama hawana makanisa yafungwe (rwanda style). Maana kauli zingine si za hekima hazijengi. Dkt Magufuli ndiye rais pekee aliyependwa na watanzania na kuchukiwa na matajiri.
kutumia hekima kwa watu wasoheshimu haki na utu wa wengine ni matumizi mabaya ya hekima, wapenda haki wataendelea kuwatolea uvivu mpaka akili ziwakae sawa.
 
Kazi y dini ni kuhubiri kuhusu ufalme wa mbinguni.
 
From ex-Scientist from WHO

IMG_20211226_225053.jpg
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umeongea point sana kuna ujinga kama huu wa kuwafanya hawa watu wanaoibia watu sadaka kwa kuwatisha tisha kuhusu kifo na kuchomwa moto kuthaminiwa katika shughuli rasmi. Sijawahi kuona kiongozi ulaya akitaka kuhutubia eti anatanguliwa na maombi sijui nini ujinga mtupu
 
Mwingira njoo uone katoto ka Shetani kameibukia JF!!
 
Nadhani kuna umuhimu viongozi wote wa dini wawe na vyeti vya theologia ya dini, na kama hawana makanisa yafungwe (rwanda style). Maana kauli zingine si za hekima hazijengi. Dkt Magufuli ndiye rais pekee aliyependwa na watanzania na kuchukiwa na matajiri.
Yaani mtu kanusurika kuuawa halafu akae kimya tu? Angekufa bado mngemtetea Shetani kwamba hausiki kama mlivyofanya kwa LISSU.
 
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi Tanzania) wakipewa kipaumbele .

Let Political and adminstrative issues remain so!
Let Religious events be Religious events.

Mara Gwajima,Mara Shoo,Mara Mwingira wanajaribu kuji-overrate!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Umejua leo baada ya Mwingira kusema kweli? Wakati tulipokuwa tunasema kuwa Magufuli alikuwa anatumia viongozi wa dini na madhabahu kuhadaa watu kubwa ni mtu mwema,mlikuwa mnasema kuwa yeye ni mcha Mungu. Tulisema Magufuli hakuwa mcha Mungu bali katili anayejificha kwenye viongozi wa dini, sasa Mwingira kaweka ukweli tuliokuwa tunausema muda wote watu wakitekwa na kuuwawa.
 
Nadhani kuna umuhimu viongozi wote wa dini wawe na vyeti vya theologia ya dini, na kama hawana makanisa yafungwe (rwanda style). Maana kauli zingine si za hekima hazijengi. Dkt Magufuli ndiye rais pekee aliyependwa na watanzania na kuchukiwa na matajiri.

Mtu anayependwa hawezi kunajisi uchaguzi kwa kiwango kile. Uovu unaowekwa hadharani sasa ni punje tu ya ukweli wa uovu uliofanywa na Magufuli. Zile propaganda na hofu aliyojenga ili kuhadaa umma kuwa anapendwa, tulikuwa tunasema kuwa ukweli unafahamika. Ukweli huchelewa tu kufika, lakini hauzuiliki.
 
Umeongea point sana kuna ujinga kama huu wa kuwafanya hawa watu wanaoibia watu sadaka kwa kuwatisha tisha kuhusu kifo na kuchomwa moto kuthaminiwa katika shughuli rasmi. Sijawahi kuona kiongozi ulaya akitaka kuhutubia eti anatanguliwa na maombi sijui nini ujinga mtupu

Huko ulaya pia huwezi kukuta huu ujinga wa watawala wa kiafrika kutaka kusifiwa huku wanaingia madarakani kwa wizi wa kura. Unakutana na kiongozi wa kiafrika ana ulinzi wa ajabu kwenye nchi yake, tena anasema ameingia madarakani kwa kura,lakini akienda kwenye nchi ambayo hajapigiwa kura na hata mtu mmoja ana ulinzi wa kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom